Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Ndio, naona unataka kumpa mzizi mkavu ajira, kazana tu.
SMDH. Mzizi mkavu ni nani?
Ndio, naona unataka kumpa mzizi mkavu ajira, kazana tu.
SMDH. Mzizi mkavu ni nani?
Kumbe humjui, ni dk wa binadamu wanaokula hovyo hovyo
Sie Wengine Tusiojulikana tutakula wale Wakuokoteza, Hawa Wenyekuangalia Pesa na Hadhi pamoja na Elimu Za wanaowataka Watawapata wenye Status hizo
Too slow. Bado sipati connection boss.
Kumbe humjui, ni dk wa binadamu wanaokula hovyo hovyo
Sie Wengine Tusiojulikana tutakula wale Wakuokoteza, Hawa Wenyekuangalia Pesa na Hadhi pamoja na Elimu Za wanaowataka Watawapata wenye Status hizo
Kwa fikra.
MziziMkavu kuna mtu eti hakujui wewe dokita bingwa namna hiyo wakati soon atahitaji huduma yako.Too slow. Bado sipati connection boss.
Kila mwanamke ana vigezo vyake wengine wanapenda kufikishwa kunako(orgasm) they love a gentleman not a boy sio kwa sababu ya pesa zake but anamheshim na kumthamin
co kwa akili
Na ana akili ya maisha fighter cos MTU anaweza kuwa na pesa lakn kichwan ovyo na mapenz hajui sasa duh bora furaha napata nachokitaka kwenye umaskini hela tutatafta kwan hakuna aliyezaliwa nazo kuliko utajir na karaha huku nikitamani kutoka nje (michepuko) na magonjwa yalivyo meng duh.........
Dah mi MTU akinifikisha kunako dah plus akili ya maisha(fighter) pesa tutatafta tutapata cos wote tutaongea lugha moja
mwambie kka akuambiaje???!!
MziziMkavu kuna mtu eti hakujui wewe dokita bingwa namna hiyo wakati soon atahitaji huduma yako.
Atoto umeamua kunimaliza kisiasa naona. Kweli umenichoka. Anyway, nina msingi imara sana, so hizo mambo unazozungumzia mi hazitanihusu kamwe. It's too excess that it often brings an excessive amount of fussing.
we endelea tu kula hizo chipsi tu utaona kama hutomtafuta mzizi mkavu soon.