Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC-Udom

Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC-Udom

Mbona hata sisi huku Bulongwaa chuo cha afya hatujalipwa sass ni mwezi wa 6 nashauri kwa yeyote aliyeomba chuo hiko asije bcse tuna sabotagee as soon as possible, nimeamini wakinga wa makete mamburula

~~~>>>>Hili ni Janga... Miezi 6 mnakula nini??

Hilo deni litalipika au mtagawana rasilimali za chuo??

Poleni sana.
 
Prof Ame.... Prof mpenda amani kuliko wote yaani full haki .. Waliosoma UDSM watamkumbuka alikuwa anafundisha soma la Quantative Analysis.....

~~~>>>Prof. Ame ameziba pengo ya Prof. Mlacha.
 
Ilikuwa hivi:

Huyu mama (Mke wa Prof) alikuwa ni meneja wa Shule.... Mwaka 2013 shule ikaanza kushuka .... Akahusisha na mambo ya kichawi.

Mwaka 2015 hali ikazidi kuwa mbaya zaidi.. Huyu mama akatafuta mganga wa Kienyeji..... Huyu mganga ndiye aliyepiga hizo hela.

Mama kustuka hela imeshaliwa... Na yeye akakimbia.
Kwa shule ilivyp hakuhitaji Mganga aisee. Alipaswa kujiongeza kidogo tu.ratio hela za dili zikikata ndo mambo yote iluliyoanzishia yanakauka. Tusubiri akipandishwa kortini Na kupewa mvua kama za za yule ex-CEO wa Ndege Twiga Mnyonge Dr. MataqqqqAl.
 
~~~>>>>Hili ni Janga... Miezi 6 mnakula nini??

Hilo deni litalipika au mtagawana rasilimali za chuo??

Poleni sana.
Sasa hiko ndiko kilichobaki kuna bwana mmoja anaitwa tekeleza Mahenge ndio principal pale sijawahi ona MTU mpumbavu kama huyu sisi haujatulipa pesaa yetu unaandaa graduuu
 
Sasa hiko ndiko kilichobaki kuna bwana mmoja anaitwa tekeleza Mahenge ndio principal pale sijawahi ona MTU mpumbavu kama huyu sisi haujatulipa pesaa yetu unaandaa graduuu

Graduu si sehemu ya kutangaza chuo??

Inabidi mgawane tu Rasilimali za Chuo mkuu.
 
Kwa shule ilivyp hakuhitaji Mganga aisee. Alipaswa kujiongeza kidogo tu.ratio hela za dili zikikata ndo mambo yote iluliyoanzishia yanakauka. Tusubiri akipandishwa kortini Na kupewa mvua kama za za yule ex-CEO wa Ndege Twiga Mnyonge Dr. MataqqqqAl.

Aisee haka kazee kalipiga pesa sana

Maana ukipita pale Makanya ana kaKijiji amejaza majengo.

Kule juu Mlimani ana gorofa sijui ni ofisi au ni nyumba ya kuishi.
 
Back
Top Bottom