Kipi chema,kulia kwe range au kucheka kwe bodaboda

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,251
Reaction score
11,925
Wadau eti Upande Range ila shida nyingi hasa kwa Dada zetu mnaolewa na wanaume wenye Tabia tofauti.
2014-jeep-grand-cherokee-summit.jpg
d351d275324532eec7d075a480649956.jpg
6a59499934c821615ba201012fdb1ba8.jpg
 
Mambo yote kwenye full natural Kipupwe bhana. Lakini likitokea la kutokea barabarani hakuna la mswalie mtume wala mnadi swalat.
ingekuwa RANGE sawa lakini hiyo bora bodaboda........nalipenda range aisee afu iwe nyeusi......acha tu ngoja nikazane kulima ninunue my dream car.
 
Dada usichoke kukazana, endelea kukazana huko shambani, na sisi wachaga na wapare tunakazana kwenye migomba na mikahawa, wasukuma nao wakazane kwenye mashamba ya pamba, watu wa ukanda wa Pwani wakazane baharini, wagogo nao wakazane kwenye mashamba ya mizabibu na karanga, wachimba madini nao wakazane migodini ipo siku kitaeleweka tu.

Jamani karibuni na nyinyi mtuambie mnakazana wapi zaidi........
 
Boda boda huchelewi kukatwa mguu, kwenye range nalilia nini ntalia mara moja tu badaye kilio kitamgeukia owner of the range.lol!
 
Dada usichoke kukazana, endelea kukazana huko shambani, na sisi wachaga na wapare tunakazana kwenye migomba na mikahawa, wasukuma nao wakazane kwenye mashamba ya pamba, watu wa ukanda wa Pwani wakazane baharini, wagogo nao wakazane kwenye mashamba ya mizabibu na karanga, wachimba madini nao wakazane migodini ipo siku kitaeleweka tu.

Jamani karibuni na nyinyi mtuambie mnakazana wapi zaidi........
mahindi na mchele.
 
Hata range inakata miguu,ajali ni ajali,sema unafuu labda
 
Back
Top Bottom