Kipi chema,kulia kwe range au kucheka kwe bodaboda

Kipi chema,kulia kwe range au kucheka kwe bodaboda

Dada usichoke kukazana, endelea kukazana huko shambani, na sisi wachaga na wapare tunakazana kwenye migomba na mikahawa, wasukuma nao wakazane kwenye mashamba ya pamba, watu wa ukanda wa Pwani wakazane baharini, wagogo nao wakazane kwenye mashamba ya mizabibu na karanga, wachimba madini nao wakazane migodini ipo siku kitaeleweka tu.

Jamani karibuni na nyinyi mtuambie mnakazana wapi zaidi........

Kwenye vitanda! Mie fundi seremala
 
umesahau kuna watu walisema hata tukila nyasi poa tu, ndege mpya ya rais lazima inunuliwe.
Wapo watu wenye Range za ngama, ikiharibika kidogo tu wanahaha hela ya matengenezo n.k.
ndo mana kujipanga muhimu.......
 
Kwenye vitanda! Mie fundi seremala
Mkuu Mwandiga hongera kwa ujasiriamali. Samahani nilisahau kuwaambia, hata mimi pia ni mtaalamu wa mapishi kwa hiyo siku moja moja huwa nakazana jikoni kwenye Canteen yangu ili kuinua uchumi wa Taifa na wangu mwenyewe wka ujumla.
 
Kuna msanii wa uigizaji filamu alipewa na jamaa BMW V5 kama sijakosea unaikumbuka? Mama watu wakinogewa wanatoa mjini hapa... Tembelea Posta mpya uone wamama/wasichana wadogo wanavyotolekaaa.
hapa unamwambia kama unaweza ukabadilishana akakupa nyumba aisee.
 
Kama ni natural, sasa yale majacket makubwa makubwa ya nini?

Mkuu Jabulani, wenye lugha yao walisema, "Everything too much is harmful". Hata maharagwe au makande ukila mengi utaambulia kuchafua hewa.
 
ndo hvyo wanawake unaweza bila kuwezesha.........nikinunua tu ntakutumia picha.
Ahsante mimi la kwangu ninalotumia hilo hapo kwenye Avatar, nawe karibu kwenye ulimwengu wa changamoto za spea parts.
 
Ahsante mimi la kwangu ninalotumia hilo hapo kwenye Avatar, nawe karibu kwenye ulimwengu wa changamoto za spea parts.
ukizitumia vizuri changamoto baadae zinakuletea mafanikio mana zinakufanya ujitume zaidi ili upambane zako......so ahsante sana tutakuwa pamoja soon.
 
Mwambie bhana..sio anakazana kwa nguvu halafu anapata pesa kidogo.
nakazana napo sababu najua mwisho wa siku lazima nizichanye nyingi.........na hata ikitokea ikawa tofauti ntajipanga upya mpaka kieleweke.
 
Kaka nimezikubali za Mke wa Beckham
 
Me naota hata sijui ntakaa nimiliki gari hadi nakufa,me sio kilema ila napenda BAJA.
 
ingekuwa RANGE sawa lakini hiyo bora bodaboda........nalipenda range aisee afu iwe nyeusi......acha tu ngoja nikazane kulima ninunue my dream car.

Nifuate uvune range rover bila kupanda
 
Back
Top Bottom