sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,853
nisipotoa jasho litakuwa very expensive.....bora nilitolee jasho ndo litanoga na nitakuwa na uchungu nalo.kwangu utapata bila jasho sister, tua moyo wako na unifuate
nisipotoa jasho litakuwa very expensive.....bora nilitolee jasho ndo litanoga na nitakuwa na uchungu nalo.kwangu utapata bila jasho sister, tua moyo wako na unifuate
nisipotoa jasho litakuwa very expensive.....bora nilitolee jasho ndo litanoga na nitakuwa na uchungu nalo.
napenda kula jasho langu.si lazima kupitia njia ngumu ili kufikia mafanikio, waweza pata mafanikio kwa wepesi hasa inapotokea umekutana na watu wema kama mimi hapa, naamini nimeletwa kwako kwa wasaa muafaka, karibu upate range rover vogue au sport kwa kadiri ya upendavyo
napenda kula jasho langu.
Bora nicheke kwenye bodaboda
heri ucheke kwenye bodaboda.
Wewe toa tafasiri ya neno kukazana kama ulivyolitumia kwenye sentensi zako, usije ukawa unapotosha!Dada usichoke kukazana, endelea kukazana huko shambani, na sisi wachaga na wapare tunakazana kwenye migomba na mikahawa, wasukuma nao wakazane kwenye mashamba ya pamba, watu wa ukanda wa Pwani wakazane baharini, wagogo nao wakazane kwenye mashamba ya mizabibu na karanga, wachimba madini nao wakazane migodini ipo siku kitaeleweka tu.
Jamani karibuni na nyinyi mtuambie mnakazana wapi zaidi........
mleta uzi mwanzo aliweka JEEP ndo mana nkasema heri bodaboda lakini kama ni RANGE nilie tu huko....mmmh ist tu zinawtoa roho ijekuwa range !!??.Acheni masiala nyie...
Ndio maana hili likaitwa jukwaa la "Great Thinkers", wenyewe waliolengwa walielewa na kujibu hoja.Wewe toa tafasiri ya neno kukazana kama ulivyolitumia kwenye sentensi zako, usije ukawa unapotosha!