Kipi chema,kulia kwe range au kucheka kwe bodaboda

Kipi chema,kulia kwe range au kucheka kwe bodaboda

ingekuwa RANGE sawa lakini hiyo bora bodaboda........nalipenda range aisee afu iwe nyeusi......acha tu ngoja nikazane kulima ninunue my dream car.

Sister sister ukishanunua nistue japo nipande lifti hata dakika 3 tu kama vipi.
 
STRUT-Land-Rover-Range-Rover-Sport-Ascot-Emerald-Front-Angle-1280x960.jpg
ahsanteeeeeee
 
unasahau shida zote za duniani.

usiwe na wasiwasi nitakununulia ndogo yake engine 2.0 Evoque hainywi mafuta sana, wala utakuwa hufikirii bei ya mafuta. Victoria Posh Beckham edition
range_rover_evoque_victoria_beckham_18.jpg

foto-evoque-victoria-beckham_03.jpg

Range-Rover-Evoque-Victoria-Beckham-Special-Edition+%25285%2529.jpg


2012-land-rover-evoque-victoria-beckham-3150643722020142375.jpg
 
Yote bora

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
usiwe na wasiwasi nitakununulia ndogo yake engine 2.0 Evoque hainywi mafuta sana, wala utakuwa hufikirii bei ya mafuta. Victoria Posh Beckham edition
range_rover_evoque_victoria_beckham_18.jpg

foto-evoque-victoria-beckham_03.jpg

Range-Rover-Evoque-Victoria-Beckham-Special-Edition+%25285%2529.jpg


2012-land-rover-evoque-victoria-beckham-3150643722020142375.jpg
kwa kitu upendacho gharama za mafuta siyo ishu na ukiwa na range ina maana hauna hela za mawazo.
 
Inakuwaje kwa aliyepewa zawadi?
na nadra sana kutokea ukapewa zawadi ya range labda upewe kwa siku moja tu......... na atakayekupa labda mzazi wako na gharama zote zitakuwa juu yake.
 
na nadra sana kutokea ukapewa zawadi ya range labda upewe kwa siku moja tu......... na atakayekupa labda mzazi wako na gharama zote zitakuwa juu yake.
Kuna msanii wa uigizaji filamu alipewa na jamaa BMW V5 kama sijakosea unaikumbuka? Mama watu wakinogewa wanatoa mjini hapa... Tembelea Posta mpya uone wamama/wasichana wadogo wanavyotolekaaa.
 
kwa kitu upendacho gharama za mafuta siyo ishu na ukiwa na range ina maana hauna hela za mawazo.

umesahau kuna watu walisema hata tukila nyasi poa tu, ndege mpya ya rais lazima inunuliwe.
Wapo watu wenye Range za ngama, ikiharibika kidogo tu wanahaha hela ya matengenezo n.k.
 
Dada usichoke kukazana, endelea kukazana huko shambani, na sisi wachaga na wapare tunakazana kwenye migomba na mikahawa, wasukuma nao wakazane kwenye mashamba ya pamba, watu wa ukanda wa Pwani wakazane baharini, wagogo nao wakazane kwenye mashamba ya mizabibu na karanga, wachimba madini nao wakazane migodini ipo siku kitaeleweka tu.

Jamani karibuni na nyinyi mtuambie mnakazana wapi zaidi........

Kwenye vitanda! Mie fundi seremala
 
Back
Top Bottom