Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Kipolooo tenqAliyegundua wali maharage apewe maua yake 🙌
Dah nyama nakula kwa hamu sana siipendKuku wa kuchoma dingi au nyama choma au kitimoto yaani kifupi nyama nyama
Kina kuwaga kitamu sanaa ushushie na mtindiNdizi zenye nyama nyingi na Pilipili ya kutosha na mbege pembeni View attachment 3568971
Wee itakuwa mwaarabuPilau
Mtindi mimi sio paka bwasheee ,jaribu kushushia na hii kituKina kuwaga kitamu sanaa ushushie na mtindi
Au sio pombe ya kienyejiMtindi mimi sio paka bwasheee ,jaribu kushushia na hii kituView attachment 3568980
Chips usile ndio maana una nenepa sana binti 😂Ndizi nyama, ugali dagaa, chips yai.
Watu wa pwani na ngisi ni damu damuNapenda vitu vya kukaanga na kuchoma ,napenda vyakula kama kuku na samaki ( hasa hawa ngisi)
Rost ya main auUGALI rosti
Vipi nyama pendwa mnayokula kwa kificho?Napenda vitu vya kukaanga na kuchoma ,napenda vyakula kama kuku na samaki ( hasa hawa ngisi)