The choosen one1
Senior Member
- Dec 13, 2023
- 102
- 430
Kwahio unahauri tusichukue tahadhari yoyoteKama humuamini kwann ufuck nae?
Mana naona mambo y kupima na kupima process n ndefu
Unachukuaje tahadhari kwa mtu unayemuamini?Kwahio unahauri tusichukue tahadhari yoyote
Wahuni kwenye 1 na 2Piga kavu Mzee pita hivi.
Hauwezi kuishi miaka 200.
Ukifa wewe umetoa nafasi na fulsa Kwa mwingine.
Kama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.Wahuni kwenye 1 na 2
Daah hii kweli mkuuKama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.
Tabu yote ya nini ujaze vipimo vya ukimwi geto?
Na mara nyingi watu kama Hawa Huwa wanaishia pabaya.
Wewe tafuta mtu sahihi tulia. Kuanza kuhangaika na vipimo vya ukimwi geto ni kujipa stress za hivyo.
Binafsi nimeshindwa kuwa na wanawake wengi Kwa mambo kama haya.
Mimi mwanamke wangu ni mmoja, ni either mpaka tuachane ndiyo natafuta chaka sahihi jipya.
Mambo ya Leo uko na Fatima unapima, kesho uko na Zai unapima, ipo siku unachotafuta utanasa
huyohuyo Amina wako unaemwamini ndo atakuja kukuchomolea betriKama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.
Tabu yote ya nini ujaze vipimo vya ukimwi geto?
Na mara nyingi watu kama Hawa Huwa wanaishia pabaya.
Wewe tafuta mtu sahihi tulia. Kuanza kuhangaika na vipimo vya ukimwi geto ni kujipa stress za hivyo.
Binafsi nimeshindwa kuwa na wanawake wengi Kwa mambo kama haya.
Mimi mwanamke wangu ni mmoja, ni either mpaka tuachane ndiyo natafuta chaka sahihi jipya.
Mambo ya Leo uko na Fatima unapima, kesho uko na Zai unapima, ipo siku unachotafuta utanasa
Condom is marvelous,Je ni vema kuwa na vifaa vya kutosha vya rapid hiv test gheto then upige kavu.
Au bora kutumia condom bila tetesi
Naomba msaada wa mawazo katika hili.
Natanguliza shukrani
Acha Amina aniue mkuu.huyohuyo Amina unaemwamini ndo atakuja kukuchomolea betri
Uko sahihi, ila je huyo nae m1 ni muaminifu??Kama una mashaka na mwenzio piga chini tafuta ambaye hauna mashaka naye piga kavu kavu.
Tabu yote ya nini ujaze vipimo vya ukimwi geto?
Na mara nyingi watu kama Hawa Huwa wanaishia pabaya.
Wewe tafuta mtu sahihi tulia. Kuanza kuhangaika na vipimo vya ukimwi geto ni kujipa stress za hivyo.
Binafsi nimeshindwa kuwa na wanawake wengi Kwa mambo kama haya.
Mimi mwanamke wangu ni mmoja, ni either mpaka tuachane ndiyo natafuta chaka sahihi jipya.
Mambo ya Leo uko na Fatima unapima, kesho uko na Zai unapima, ipo siku unachotafuta utanasa
Kunamlokole tangu nimwambie hivyo,ameshakata na mawasiliano.Vyote ni muhimu hakuna kilichomzidi mwenzie maana vinafanya kazi Moja,
Kuna wanawake wakiskia kucheki afya wanapagawa.
Unaweza ukapata false positive result ukabaki na msongo wa mawazo.Je ni vema kuwa na vifaa vya kutosha vya rapid hiv test gheto then upige kavu.
Au bora kutumia condom bila tetesi
Naomba msaada wa mawazo katika hili.
Natanguliza shukrani