Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

Kipaumbele Ni kuwa na kiongoz hewa na atawale wananchi hewa na nchi hewa na maamuzi hewa ...kipaumbele kitu kitu hewa

Atcl unachoona Ni hewa utasikia zimekufa

Viwanda huu mwaka sasa Ni hewa havijajengwa

Milion hamsini kila kijiji hakuna nazo hewaaa

Dodoma ndo huzuni tuliona Wazirì jaliwa akihamia ILA kila siku yupo magogoni ofis dodoma Ni hewaaaa

Tiziiiiiii Ni hewaaaaaaaa ndo tunachofikir
 
Vipaumbele vya mwendokasi
1) bombardier
2) kulipa madeni
3) uwanja wa kisasa dodoma
4)kuhamia dodoma
5)kuongeza kodi ya utaliii
6) kustop mikutano ya kisiasa
7)tume za uhakiki
8)kuikaushia Zanzibar
9)sukari
10) kodi kodi kodi
....Raia wa kawaida hapo yuko wapi??
.....Vinaghalimu sh ngap??
....Halali pesa isionekane
 
Dar es salaama......tutabanana hapa hapa
Dodomaaaaaa
Wanakwenda na kurudi eeeee....
Sijui allimba nani wimbo huu!

Back
Top Bottom