Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

Kipaumbele cha serikali yetu ni kipi?

Kipaumbele cha kwanza misikiti

Cha pili misikiti

Cha tatu misikiti. Sijui cha nne ni nini???
 
Kuna watu walikuwa wana imani kwa mtu sasa wanavyosoma namba hadi unawaonea huruma.
 
Hivi ile wizara iliyokuwa ihamie dom august ndo ikapokee wageni limeishia wapi maana hata kile kipindi kimekufa tbc
 
Panga boy, msikiti, uwanja wa mpira, kubadilisha kutoka kuvaa oversize hadi suti za kawaida, kuhamia Dom kwa kukurupuka n kurudi Dsm kimya kimya, kujifunza kingereza kwa Ras simba
 
1: Kuhakikisha wafanyakazi
2: Kufufua shirika la ndege
3: Kuhamia Dodoma
4: Kuhakiki walipa kodi na kuzikusanya
 
Panga boy, msikiti, uwanja wa mpira, kubadilisha kutoka kuvaa oversize hadi suti za kawaida, kuhamia Dom kwa kukurupuka n kurudi Dsm kimya kimya, kujifunza kingereza kwa Ras simba
Kutumia pesa zote za makusanyo ya kodi kumpatia Lipumba ale na michepuko Ofisini buguruni huku wakiamini atawasaidia kudhoofisha Ukawa.
 
Pesa pato la taifa kwa asilimia kubwa sasa anapewa lipumba na Madalali wa siasa ili wawasaidie kudhoofisha upinzani.
 
1477427531594.png
1477427545307.png
. hivyo ndo vipaumbelee muhimu katika nchii hiiiii
 
1. Kushinda uchaguzi 2020
2. Kudhibiti UKAWA
3. Kuondoa vilaza wote
4. Uhakiki wa kila jambo
5. Standard gauge reli
6. Kudhibiti matumizi
7. n.k. ...
 
1.Vita dhidi ya Rushwa. 2. Maadili kwa watumishi wa umma 3. Tanzania kuwa Nchi ya Uchumi wa kati. 4. Tanzania kuwa Nchi ya viwanda. Kuimarisha huduma za mawasiliano na usafiri. 5. Huduma bora za elimu, maji na afya
 
Vibaraka wa mbowe mnajitahidi sana mitandaoni. Endeleeni hivyo hivyo mtapata zawadi kwa dada zenu kuolewa na mbooweee
 
Back
Top Bottom