mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Ha ha ha ww umeipata wapi mkuu BW mandown
ilani yenyewe ni ile isiyotekelezeka, kazi tunayo... vipao mbele vyake ni ilani ya chama .
Huyu jamaa hana "visheni yake binafsi"
ana fanya pale chama kitakapo muambia
Usiwe mtu wa kuropoka Alishakwambia toka day one kuwa yeye ni mtu wa chama, hivyo ilani ya chama ndimo kuna vipaumble vya chama na si vya magufuri. Vipi ukawa babu ana vipaumbele vyake au vya cdm?
... vipao mbele vyake ni ilani ya chama .
Huyu jamaa hana "visheni yake binafsi"
ana fanya pale chama kitakapo muambia
Usiwe mtu wa kuropoka Alishakwambia toka day one kuwa yeye ni mtu wa chama, hivyo ilani ya chama ndimo kuna vipaumble vya chama na si vya magufuri. Vipi ukawa babu ana vipaumbele vyake au vya cdm?
... vipao mbele vyake ni ilani ya chama .
Huyu jamaa hana "visheni yake binafsi"
ana fanya pale chama kitakapo muambia
Hata kama kuna ilani ya chama, ni lazima Rais awe na vipaumbele vyake binafsi. Ndiyo maana marais wengine huwa wanafanikiwa zaidi kuliko wengine. Kuongoza nchi siyo kutekeleza irani ya chama tu!!
It seems akina January and the Kingwangallas have more vision of this country than "The Chosen One"
ilani yenyewe ni ile isiyotekelezeka, kazi tunayo
Ilani ya chama chenu na maPadlock si utapeli wa wananchi waliowajinga kama wewe,wizi wa kura ambao tunaweza kutafsiri kuwa udikteta.Usiwe mtu wa kuropoka Alishakwambia toka day one kuwa yeye ni mtu wa chama, hivyo ilani ya chama ndimo kuna vipaumble vya chama na si vya magufuri. Vipi ukawa babu ana vipaumbele vyake au vya cdm?
lawama iko wapi hapoWabongo ni mabingwa wa lawama uchaguz bado but unaanza kutoa lawama kama kashakua rais