Inaonekana Bado anamawazo tegemezi anacho ambiwa aseme hata kama haridhiki nacho ndicho hichohicho atasema.Mawazo yakupewa achanganye na yake.
anajua anachokifanya sio wale wanaopayuka na kuongea hovyo hovyo,
Inaonekana Bado anamawazo tegemezi anacho ambiwa aseme hata kama haridhiki nacho ndicho hichohicho atasema.Mawazo yakupewa achanganye na yake.
Yaani ina maana yeye kama mtu anayetaka kuwa rais wa nchi hii hana maono yoyote?...I mean hata kilichopo ndani ya ilani hakijui?...otherwise angesema basi kwamba ntasimamia /nitahakikisha hiki na hiki na hiki ambacho ndicho basis ya ilani yetu au tuseme vipaumbele vya ilani yetuUjuavyo sivyo, kuna nchi ilani inatolewa na mgombea kama Marekani, lakini kwa Tanzania mgombea anayewakilisha chama anaenda kuuza kile ambacho chama kimepanga kifanyike, kumbuka chama ni jumuiya ya watu,wanakaa na kukubalina ni kipi kifanyike kwa wakati fulani, juzi wamepitisha ilani ya CCM 2015-2020, anayeibeba ilani hii ni mgombea urais.
Ni wajibu wake kuhakikisha anawaelewesha wananchi kilichopo kwenye ilani na akishinda akatekeleze yote yaliyopo kwenye ilani, ilani inabeba kila kitu unachokiwaza wewe,kipo mle Iwe utawala bora, iwe mapambano ya rushwa, iwe kilimo, iwe fursa kwa vijana na wanawake, elimu n.k vyote vipo mle...wajibu wake ni kuhakikisha hayo anayatekeleza vizuri na kwa kasi
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?
Chanzo: EATV
Hiyo ni awamu ya nne tu ndio ilikuwa na ahadi za rais vinginevyo mgombea anasimamia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa chama chake mkuu mambo mengine ni mbwembwe na wengi hawatekelezi. Ni sawa na mbunge anakuja kuomba kura anasema nitajenga daraja sijui nitafanya nini alafu anapata kura anasepamimi nijuavyo mgombea razima uwe na jambo maalum la kufanya.Basi magufuri ni roboti mpaka uswichi
Wewe ndiyo zuzu kweli unataka atekeleze vitu vya kichwani mwake? Kiongozi anayeteuliwa na chama anatakiwa kutekeleza alichotumwa na chama siyo vya kichwani mwake. Hata kazini kuna organisation strategic plan. CEO wa kampuni hatakiwi kwenda nje ya strategic plan. Ilani ya chama ndiyo strategic plan. Kiongozi atakayeenda kinyume na hiyo hafai.
Yaani ina maana yeye kama mtu anayetaka kuwa rais wa nchi hii hana maono yoyote?...I mean hata kilichopo ndani ya ilani hakijui?...otherwise angesema basi kwamba ntasimamia /nitahakikisha hiki na hiki na hiki ambacho ndicho basis ya ilani yetu au tuseme vipaumbele vya ilani yetu
Nahofu anaweza kuwa mtu wa kuambiwa tu .....mzee tunatakiwa tufanye hivi....na yeye anafanya!!!
Ilani ya uchaguzi ndio kwanza ipo kwenye final touch na jibu alilotoa ni sahihi kabisa kuliko kuanza kutema cheche alafu baadae tuanze siasa bwana, hapo aangalie ilani inasemeje alafu ajipange namna gani ya kufanya mamboYaani ina maana yeye kama mtu anayetaka kuwa rais wa nchi hii hana maono yoyote?...I mean hata kilichopo ndani ya ilani hakijui?...otherwise angesema basi kwamba ntasimamia /nitahakikisha hiki na hiki na hiki ambacho ndicho basis ya ilani yetu au tuseme vipaumbele vya ilani yetu
Nahofu anaweza kuwa mtu wa kuambiwa tu .....mzee tunatakiwa tufanye hivi....na yeye anafanya!!!
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?
Chanzo: EATV
Marehemu Kabuye alikuwa mtu wa kwanza kumuangusha Magufuli ubunge chato. Huyu marehemu alikuwa Mtaalam Wa kutumia baisikeli kwenye kampeni!
Magufuli ni mjanja. Hataki kuingia kwenye mtego wa kufanya kampeni kabla ya uchaguzi ili awekewe pingamizi. Hapa anacheza na akili za watu.
Subirini kampeni zianze
mmmm weweee usifananishe mbunge na rais.....Kkwete alisema nitajenga chuo kikuu dodoma....alisema nitawapa watanzania katiba mpya....yote hayo aliyafanya(japo la katiba limekwamia hapo lilipofikia)....Na yote hayo hayakuwa popote kwenye ilani ya CCM....anyway nataka ujue tu kuwa Rais hawezi kufananishwa na mbunge.....hivi ni kuuliz e swali
hivi wale wabunge wanaopitanga na vipaombele vyao kuwa nitajenga madaraja,barabara na nyumba za watumishi wakiongozwa na mawazo binafsi walishayafanya hayo?
kama sio basi jua magufuli anajua anachokifanya ,hana sifa za kijinga
Uko wapi huo wa kwako wa maana?....a robotic leader!?...you are programmed on how to act......you have no vision for your country....huwezi kusema unataka, as a president to be, kuona tanzania ikifika sehemu fulani,kuwaona watanzania wakiwa na hali fulani tofauti na sasa?....unamjua magufuli? au unatumia miemuko ya siasa kujadili hii hoja, unaweza kweli ukawambia watu kuwa magufuli ni mtu wa kuambiwa ?uchambuzi wako ni wa hovyo,
ok muda sio mrefu saana ulobaki....sijui atakariri na kila jambo kwenye hiyo ilani na ni la ngapi na liko page gani!Ilani ya uchaguzi ndio kwanza ipo kwenye final touch na jibu alilotoa ni sahihi kabisa kuliko kuanza kutema cheche alafu baadae tuanze siasa bwana, hapo aangalie ilani inasemeje alafu ajipange namna gani ya kufanya mambo