Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Magufuli is a good "manager" but he is not a good "leader" kwaiyo hafai kuwa rais bali anafaa zaidi kuwa waziri mkuu, katibu mkuu n.k
Kazi ya meneja ni kusimamia utekelezaji wa mipango. Lakin kazi ya kiongozi ni kusoma alama za nyakati, kubuni na kuonesha dira kisha kuhakikisha mameneja wanatimiza wajibu wao.