- Thread starter
- #21
Amewekwa pale agombee kwa ajilo yao
Ndio maana hajui cha kufanya
Amewekwa pale agombee kwa ajilo yao
Rudia tena.Na fahamu maana ya kipaumbele.
mimi nijuavyo mgombea razima uwe na jambo maalum la kufanya.Basi magufuri ni roboti mpaka uswichi
Lengo ni jambo muhimu kwa kiongozi.Magufuri hajielewi wala hajui afanye nini.Ndio maana alisema atawalinda wazee
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?
Chanzo: EATV
Sasa ndugu hujui kuwa mgombea vipaumbele vyake vinawekwa kwenye kitu kinachoitwa Ilani?ndiyo atakayotuuzia ili tumpigie kura.
Mkuu nchi hii vyama vina Ilani nzuri sana, tunasheria nzuri sana za nchi .
Tatizo ni usimamizi wa sheria ndio.
Kila ilani inakipaumbele mkuu.
Ndio maana hajui cha kufanya
Nilikwishasema na nitarudia kusema, msitegemee jipya kutoka CCM piitia kauli mbiu ya Mh. Magufuli wakati wa mchakato wa kuchukua fomu za kuwania uwakilishi katika uchaguzi mkuu.
Katika nchi zinazojielewa, kuna priorities za Nchi ambazo mgombea anatakiwa kuzi_meet kwanza na baadaye kumeet priorities za chama atokacho. Wakati wa kampeni ni kuelezana huo utekelezaji utakuwa wa namna gani tu!
Sasa with CCM sera zile zile,ilani ile ile, siasa zilezile, kinachobadilika hapa ni figure tu! Kama wameshindwa kusimamia "ilani" hiyo kwa countless years no matter how 'beautiful'' hiyo ilani iko hawatufai. Hataweza kuwawajibisha wazee, we are past that time of HOPING 'huyu ataweza kusimamia ilani yetu'.
Ujuavyo sivyo, kuna nchi ilani inatolewa na mgombea kama Marekani, lakini kwa Tanzania mgombea anayewakilisha chama anaenda kuuza kile ambacho chama kimepanga kifanyike, kumbuka chama ni jumuiya ya watu,wanakaa na kukubalina ni kipi kifanyike kwa wakati fulani, juzi wamepitisha ilani ya CCM 2015-2020, anayeibeba ilani hii ni mgombea urais.
Ni wajibu wake kuhakikisha anawaelewesha wananchi kilichopo kwenye ilani na akishinda akatekeleze yote yaliyopo kwenye ilani, ilani inabeba kila kitu unachokiwaza wewe,kipo mle Iwe utawala bora, iwe mapambano ya rushwa, iwe kilimo, iwe fursa kwa vijana na wanawake, elimu n.k vyote vipo mle...wajibu wake ni kuhakikisha hayo anayatekeleza vizuri na kwa kasi
Wanajamvi mnisaidieni Magufuri anaulizwa kipaumbele chake,anasema ni Ilani ya CCM.Huyu mtu kweli amejiandaa au anajua anachotakiwa kufanya?
Chanzo: EATV
wewe mnafiki nani kakwambia hana kipaombele chake,acha siasa za hovyo zisizo kuwa na tija,
Magufuri hana hekima na ufahamu wa siasa.Yeye ni mtumwa wa viongozi
Wewe ndiyo zuzu kweli unataka atekeleze vitu vya kichwani mwake? Kiongozi anayeteuliwa na chama anatakiwa kutekeleza alichotumwa na chama siyo vya kichwani mwake. Hata kazini kuna organisation strategic plan. CEO wa kampuni hatakiwi kwenda nje ya strategic plan. Ilani ya chama ndiyo strategic plan. Kiongozi atakayeenda kinyume na hiyo hafai.
Atawalinda wazee ni wazee gani hao ataowalinda magufuli mkuu,?
Mkuu tulia kwanza uelewe maana ya vipaumbele.Magufuri yuko too mechanical kiongozi asiye na hekima
Kwa hiyo mnataka apingane na mawazo ya waliomteua.?
Tatizo la Tanzania sio Ilani ila usimamizi na utekelezaji wa hiyo Ilani.