Anasubiri ccm wamwambie. Tena atakuwa kama Sita kwenye bunge la katiba au Mama Makinda kwenye uspeaker. Kitakachotakiwa na ccm ndicho atakachokifanya.
"Chama Chetu Kwanza", Taifa baadaye"
"Wapigwe tu maana tumechoka", hakuna katiba wala kanuni za kuongoza nchi.
" Tulindane na kufichiana maovu".
"Mafisadi tuwasafishe"
"Shusha kiwango cha elimu nchini, ili watoto wetu wapate elimu nje, kusudi watawale milele".
"Imarisha udini serikalini ili tujenge support kwenye kundi moja".
"Imarisha ujinga watu wasipate taarifa muhimu ili wasihoji". "Atakayehoji maamuzi yetu, TISS wamalizane naye".
"Hakuna kukubali hoja yoyote ikitolewa na upinzani hata kama inauzito gani, huu ndiyyo msimamo wa chama chetu".
"Ongeza kodi kwa mafanyakazi ili tupate fedha nyingi za kutumia".
"Hakikisha jeshi la polisi muda wote linalinda watawala na ccm kila mahali".
"Weka mahakama mfukoni ili pasiwe na maamuzi mazito dhidi yetu".
"Endeleza mahusiano na kule huwa tunaendaga kucharge nyota zetu".
"Usisahau kuwalinda waganga wetu wa jadi kwa kuwa huwa ni wa msaada sana hasa nyakti ngumu. Ndiyo maana kwemye BMK, tuliwapa kiti maalumu".
"KAMWE USIKUBALI RASIMU YA KATIBA YA WARIOBA KUZUNGUMZIWA. MARA BAADA YA KUAPISHWA, PITISHA ZOEZI LA KURA ZA MAONI YA KATIBA YETU MPYA WAKTI WATANZANAI BADO WANAMAWAZO YA KUSHINDANIA VYAMA, WAKIWA WAMESAHAU UTAIFA. KAMWE KAMWE USIJE UKAKUBALI KUWA NA TUME HURU YA UCHAGUZI, NA USIRUHUU MABADILIKO YOYOTE YA SHERIA YA UCHAGUZI NA MADARAKA YA RAISI YASIGUSWE ILI TUSIJE KUPOTEZA ULINZI WA MFUM WETU TULIOUIMARISHA KWA MIAKA 50 SASA.
Magufli atasema "Chama Chetu Kwanza", kama mlivyosema. Ninakiapo cha kutekeleza matakwa ya ccm na sima lingine. Kama mlivyosema. Atakayekataa kufuata, maagizo yenu, haki ya nani atoroke nchi usiku, ama la, atawafuata wale tuliowashughulikia. Sima masikhara kwa masuala ya chama!.
Feedback mtapata. Kikao kimeahirishwa!. CHAMA CHETU KWANZA, TANZANIA BAADAYE SANA, KAMA FURSA ZIATARUHUSU!.