Ujuavyo sivyo, kuna nchi ilani inatolewa na mgombea kama Marekani, lakini kwa Tanzania mgombea anayewakilisha chama anaenda kuuza kile ambacho chama kimepanga kifanyike, kumbuka chama ni jumuiya ya watu,wanakaa na kukubalina ni kipi kifanyike kwa wakati fulani, juzi wamepitisha ilani ya CCM 2015-2020, anayeibeba ilani hii ni mgombea urais.
Ni wajibu wake kuhakikisha anawaelewesha wananchi kilichopo kwenye ilani na akishinda akatekeleze yote yaliyopo kwenye ilani, ilani inabeba kila kitu unachokiwaza wewe,kipo mle Iwe utawala bora, iwe mapambano ya rushwa, iwe kilimo, iwe fursa kwa vijana na wanawake, elimu n.k vyote vipo mle...wajibu wake ni kuhakikisha hayo anayatekeleza vizuri na kwa kasi
Kama kweli anajali sekta ya elimu na siyo anatafuta kura za waalimu aanzie hapa kabla ya laptop
View attachment 275729
View attachment 275731
View attachment 275732
View attachment 275733
View attachment 275734
View attachment 275735
Ni hatari sana kwa mgombea kutojua matatizo ya msingi ya waalimu. Mbaya zaidi, aliwahi kuwa mwalimu na mke wake ni mwalimu. Je sekta nyingine itakuwaje? Ukiona mchungaji anasubiri Biblia ndipo ahubiri ujue kuna tatizo.
magufuli hana vision yoyote yakuongoza taifa yan yeye hana alilopanga hatacmoja kchwan mwake anasubili ilani ya kifisadi