Kipanya leo!!

Kipanya leo!!

Wape kipanya wape haooooooooo..\

Naongezea shuka lenyewe lina kunguni.....
 
Uwiiiiii...!!!! Kumekucha, usingizi nao unakuja. Dah...., too late! Maskini, akijakuamka siku nayo imeisha na hajafanya kazi yoyote!
 
Kipanya ni moto aise
Huwa sijui anawaza nini kichwani mwake kwenye kufikisha ujumbe wake
 
Kipanya sio mchumia tumboni bali ni mzalendo na mwanaharakati, na ndio maana aliondoka clouds!!!!
 
Huyu jamaa ni kichwa kweli....vilaza wengi huwa hawamuelewi.
 
Hiyo shuka na miguu mbona kama inarangi ya migomba na bangi?
 
Wasanii wabunifu kama Kipanya, huwa wanamtizamo mpana sana. Hii katuni inaweza kuandikia kitabu kizima kulingana na mapungufu yaliyopo. Ila kama ni werevu, wanaweza tumia ujumbe huu kujirekebisha/kujisahihisha badala ya kuanza kumzonga Kipanya wa watu.
 
Back
Top Bottom