Kipanya leo!!

Kipanya leo!!

Duh, halafu aliyelala pale sijui kama ni binadamu!
 
Hiyo shuka mbona inatoa rangi hivyo? Mpaka mwili umekuwa na rangi ya shuka!
 
Halafu hilitumii neti....
Malaria itaishaje?
 
na hiki kitakuwa ni kiumbe kutoka hifadhi ya gombe


Ina maana Wahasira anatokea gombe? tehe tehe tehe tehe!!!!!
 
fearless KIPANYA.. you r among the very few. mwingine angejiuliza watanionaje!!
 
ilo shuka au nape...?? eeeh sory nepi..???
 
Back
Top Bottom