Kipanya awashukia askari wa trafiki

Kipanya awashukia askari wa trafiki

Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Takukuru hawapo genuine ndio maana mwaka mzima unaisha hujasikia askari amekamatwa kwa kula rushwa wakati daily wananchi wanalalamika kuwa askari ni wala rushwa. Takukuru wanazikanyagia chini kila taarifa za rushwa zinapofikishwa kwao.
 
Kwanini kusifungwe camera barabarani? maana hawa ni tatizo kubwa kuliko hata ajali zenyewe
 
Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Takukuru wenyewe ni wala rushwa yaani unamwambia mla rushwa mkubwa amchunguze mla rushwa mdogo
 
Takukuru hawapo genuine ndio maana mwaka mzima unaisha hujasikia askari amekamatwa kwa kula rushwa wakati daily wananchi wanalalamika kuwa askari ni wala rushwa. Takukuru wanazikanyagia chini kila taarifa za rushwa zinapofikishwa kwao.
Mbaya zaidi, tafiti huwa zinafanywa na huwa yanatoka matokeo yaliyopangwa kwa mtiririko kati ya taasisi za serikali ipi inaongoza kwa rushwa na ipi ya mwisho. Lakini pamoja na hayo, bado TAKUKURU hawajawahi washikilia wahusika kwa rushwa
 
Na sisi tunaetoa tukamatwe na takukuru ,
Rushwa zenyewe buku buku tu .
 
Mbaya zaidi, tafiti huwa zinafanywa na huwa yanatoka matokeo yaliyopangwa kwa mtiririko kati ya taasisi za serikali ipi inaongoza kwa rushwa na ipi ya mwisho. Lakini pamoja na hayo, bado TAKUKURU hawajawahi washikilia wahusika kwa rushwa
Haitatokea meno ya mbwa yaumizane
 
Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Matumbo yao yanadhihirisha kubwa ni wezi, hayalingani na vipato na vyao halali
 
Back
Top Bottom