Ona, mwanzilishi wa mada, hizi ndiyo hoja unazozijengea mada yako?Bhangi mnavuta nyinyi uvccm ndiyo maana mwenyekiti wenu aliwahi kuisifia ya njombe
Ona, mwanzilishi wa mada, hizi ndiyo hoja unazozijengea mada yako?Bhangi mnavuta nyinyi uvccm ndiyo maana mwenyekiti wenu aliwahi kuisifia ya njombe
Ujue wanapiga vita safari za usiku zisiwepo! Wanaogopa yatakayowakuta!Dah! Ila kiukweli askari wa usalama barabarani wanakera sana. I wish wasingekuwepo kabisa, halafu ziwekwe tu camera za cctv kote nchini, za kuangalia mienendo ya madereva wawapo barabarani.
Hawakamati daladala.mimi huwa nawashangaa wanapokuja wengi na kuanza kukamata daladala mtaa wa uhuru amana dar utafikiri wapo sirias watasimamisha daladala 10 zinazokatiza ruti koda anashuka atoa rushwa wanaondoka tena wanatoa wazi kabisa
Watakuwa wanalindwa haomimi huwa nawashangaa wanapokuja wengi na kuanza kukamata daladala mtaa wa uhuru amana dar utafikiri wapo sirias watasimamisha daladala 10 zinazokatiza ruti koda anashuka atoa rushwa wanaondoka tena wanatoa wazi kabisa
Trafik wamekuwa ni wala rushwa wakubwa na hakuna asiyefahamu hilo kwa sababu hata serikali kuu inalijua itakumbukwa wakati Rais Samia anaingia madarakani aligusia hii kero akatolea mfano wa yeye mwenyewe kubugudhiwa na trafiki ambaye alikuwa hamfahamu kama ni kiongozi sababu alivaa mavazi ya wamama wa kiislamu (alijitanda usoni)Lisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Nimekuelewa sana mkuu kwa hilo la kuyaandaa maroli kutembea mwendo wa kimtego.Trafik wamekuwa ni wala rushwa wakubwa na hakuna asiyefahamu hilo kwa sababu hata serikali kuu inalijua itakumbukwa wakati Rais Samia anaingia madarakani aligusia hii kero akatolea mfano wa yeye mwenyewe kubugudhiwa na trafiki ambaye alikuwa hamfahamu kama ni kiongozi sababu alivaa mavazi ya wamama wa kiislamu (alijitanda usoni)
pia alitolea mfano vimemo alivyokuwa anapokea kutoka kwa watu ama viongozi wa chini yake wakiombea vijana wao kazi ya trafiki
aliuliza kuna nini huko? mbona kila mmoja anakimbilia huko? hili swali alilielekeza kwa IGP .
pengine wafaidika wa wa rushwa ya trafiki wapo wengi wakiwepo viongozi wao wanaokaa maofisini ama tuamini kwamba wanachokifanya barabarani ni sera ama mkakati wenye kueleweka kwa maboss kwa sababu haiwezekani na haliingii akilini kwamba jambo ambalo hata mheshimiwa Rais ambaye ni mkuu wa nchi ameliongelea halafu bado libaki tu kama lilivyo muda wote wazibe masikio
Trafiki inapoteza kabisa mantiki yaje ya kuzuia ama kuondoa kabisa ajali bara barani,hawafanyi uendeshaji gari barabarani kuwa rafiki kwa watumiaji wa barabara na hawana nia ya kurahisishia waendeshaji kuwahi wanakokwenda kwa ajili ya kutekeleza majukumu mengine kwa maendeleo binafsi na taifa kwa ujumla wake
Trafiki wamekuwa wanazitumia vibaya ama kwa manufaa binafsi alama za tahadhari bara barani mfano bara bara ya moshi -arusha pale kikafu kuna pana alama za mwendo mdogo (50km ph) na alama isiyoruhusu ku-overtake alama hizi zimechukua mwendo mrefu kidogo kutokana na mazingira yenyewe hatari ktk eneo hilo kwani pana kona kali,daraja jembamba na kigongo kidogo unapotokea moshi.
sasa hapa Trafik wanaosimama pale karibu na kwa sadaka njia panda ya Masama wanachofanya siyo sawa wanakuwa kule mwanzoni kuwapa madereva Lori wanaowafahamu pesa ili waendeshe lori speed ndogo hata hadi 20km ph na wenyewe wanajificha kwenye kichaka katika eneo husika ama mmoja ktk wao anapanda kwenye hilo Lori kwa sababu ya kuyaripoti magari yanayoovertake kwa waliosimama kule njia panda masama na hapa wananasa wengi maana Lori litaendeshwa kwa speed ambayo haivumiliki kwa mtu ambaye ana haraka na hasa magari madogo pamoja na kwamba hata magari makubwa nayo huiingia ktk huu mtego na pale sasa ni ama faini elfu 30 ama rushwa ya elfu 10.
Hapa ndo unapoona kwamba Trafik nia yao siyo ya kurahisisha uendeshaji barabarani bali ni kutatiza uendeshaji na inaweza kuonekana kama elfu 10 ni rushwa ndogo lakini ikumbukwe kwamba pesa hizi zinachukuliwa ni kwa watu wengi Trafik wanajikusanyia pesa nyingi sana kutokana na rushwa maana ni kila siku yaani elfu 10 mara watu wangapi mara mwezi mara mwaka ama miaka atakayokuwa kazini .
Naomba hii isichukuliwe kama majungu na wala usinitake maswali mengi ila fuatilia hili nililoandika kwa umakini na pia ikiwa hujakutana na hii kadhia kwenye hiyo barabara basi unayo bahati na hata wale wanaoweka beria nyakati za jioni na Usiku pale kia ambao wamehama kutoka pale kwa msomali hawa pia ni tatizo wanasimamisha kila gari ni rushwa na usumbufu kutafuta tu kuibua matatizo ya ubabaishaji kwenye gari ili tu mtu utoke rushwa na hii shida ilianza wakati ule wa mkuu wao wa wilaya sabaya ambaye aliwapa kiburi cha haya yote .
kwa kweli wamezidi. Kwa mfano upuuzi unaofanywa na trafiki kati ya Kimara Stopover mpaka Kibaha, sitashangaa siku moja nikisikia trafiki wamegongwa na gari.Lisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Mkuu huo ni mpango kamili unakuwa umepangwa.kwa kweli wamezidi. Kwa mfano upuuzi unaofanywa na trafiki kati ya Kimara Stopover mpaka Kibaha, sitashangaa siku moja nikisikia trafiki wamegongwa na gari.
Jana nimezozana na askari pale kibamba gogoni akidai eti nimepita bila kusimama kwenye zebra, ilhali waliokuwepo pale walikuwa abiria wanasubiri daladala.
Yaani trafiki ana akili timamu kabisa, anaona watu wamesimama kwenye zebra na daladala inasimama kwenye zebra badala ya kusimama kituoni mita kama tatu tu mbele yake, kisha trafiki anakusimamisha akuandikie faini au umpe rushwa wewe mwenye gari binafsi, yaani ulipia kosa la daladala na uzembe wake. Nilikasirika nikawaambia wanipeleke kituoni ksha mahakamani, ilibaki kidogo sana nivae upumbavu wao ili turaruane makofi.
Cha kusikitisha upumbavu huo wanaufanya jirani kabisa na kituo cha polisi gogoni kibamba, mpaka nikahisi hata ocd wao anahusika.
Kabisa, ni mpango wao kabisa wa ocd wa ubungo pengine hata bosi wao wa kanda maalumu anajua na hajali... haiwezekani barabara njia sita, kimara stopover to kibaha eti uendeshe gari under 50km/hr...hata sehemu ambazo hazina speed limit hawajali wanawakamata watu hovyo hovyo tu .....huu ni upuuzi wa kiwango cha juu.Mkuu huo ni mpango kamili unakuwa umepangwa.
Hata wao wanakuwa wanajaribu zari wakikukuta upo soft basi wanakubandika faini kubwa ili uombe nafuu hapo ndio unapigwa 10kKabisa, ni mpango wao kabisa wa ocd wa ubungo pengine hata bosi wao wa kanda maalumu anajua na hajali... haiwezekani barabara njia sita, kimara stopover to kibaha eti uendeshe gari under 50km/hr...hata sehemu ambazo hazina speed limit hawajali wanawakamata watu hovyo hovyo tu .....huu ni upuuzi wa kiwango cha juu.
kwa mara ya kwanza jana nilikuwa mkali niliwafokea trafiki kama watoto mpaka nikajishangaa mimi mwenyewe, mwishowe wakaniambia umesamehewa nenda nikakataa kuondoka mpaka yule kijana akafuta kauli ya kusema nimesamehewa ndipo nikaondoka.
Nchi hii kuna shida kubwa mahali, wana usalama wanachukuliwa waliofeli mitihani ya kidato cha nne, wanapelekwa chuo polisi kisha wanapandishana vyeo mpaka wanakuwa decision makers ambao baadhi tool of analysis hawana. Wale bright wanaendelea kusoma wakaishamaliza vyuo kazi hakuna wanakuwa machinga.
Yanai kada za muhimu ambazo ni za kuwahudumia wananchi wanapelekwa vilaza.
Kweli hizi pesa zinazokusanywa kwenye faini zinatosha kabisa kufunga camera na siyo lazima zikafungwa zote nchi nzima na maeneo yote ya barabara ila inawezekana kufunga kwa kuanzia baadhi ya maeneo na mkakati ukawa ni muda hata kama miaka mitano tutamliza tatizo. Hapa itakuwa umekatwa mzizi wa rushwa kwa upande huoTeknolojia ichukue nafasi ili haki itendeke
Matrafiki wataandamana nchi mzima kupinga wazo hilo.Kweli hizi pesa zinazokusanywa kwenye faini zinatosha kabisa kufunga camera na siyo lazima zikafungwa zote nchi nzima na maeneo yote ya barabara ila inawezekana kufunga kwa kuanzia baadhi ya maeneo na mkakati ukawa ni muda hata kama miaka mitano tutamliza tatizo. Hapa itakuwa umekatwa mzizi wa rushwa kwa upande huo
Si hiyo hiyo teknolojia ndiyo wanatumia kuonesha unachodaiwa badala ya kutazama kosa ulilonalo
Siku hizi wakishakuonesha unachodaiwa wanakwambia, haya wachia za rangi ya viatu uondoke zako, Simpo. Wapo uwaoe ili wasikcheleweshe na deni lipo palepale.
👍Kweli hizi pesa zinazokusanywa kwenye faini zinatosha kabisa kufunga camera na siyo lazima zikafungwa zote nchi nzima na maeneo yote ya barabara ila inawezekana kufunga kwa kuanzia baadhi ya maeneo na mkakati ukawa ni muda hata kama miaka mitano tutamliza tatizo. Hapa itakuwa umekatwa mzizi wa rushwa kwa upande huo
Teknolojia zote zinazodhibiti watu kuiba zinapigwa vita na kuhujumiwa na haohao walioaminiwa kufanya kazi na kuzilinda.Kweli hizi pesa zinazokusanywa kwenye faini zinatosha kabisa kufunga camera na siyo lazima zikafungwa zote nchi nzima na maeneo yote ya barabara ila inawezekana kufunga kwa kuanzia baadhi ya maeneo na mkakati ukawa ni muda hata kama miaka mitano tutamliza tatizo. Hapa itakuwa umekatwa mzizi wa rushwa kwa upande huo
Ni wajinga snUkibishana naye anakuambia nakupiga 60k.[emoji16][emoji16][emoji16]kosa dogo tu unamuelewesha anasema unabishana na mimi