HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 72,994
- 102,833
Mtu anateuliwa kutoka kuwa Mwalimu, anapewa Wizara mwaka huo huo ana zaidi ya bilioniHilo nalo neno.
Inatisha.
Mtu anateuliwa kutoka kuwa Mwalimu, anapewa Wizara mwaka huo huo ana zaidi ya bilioniHilo nalo neno.
Inatisha.
Polisi wanayo haki yote ya kuhakikiksha kuwa watu wanalipa faini za traffic cases zinazowapelekea madereva kupigwa faini.Lisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Takukuru wenyewe wanakula rushwa, kwa ufupi taasisi zetu zote za kimamlaka zina uadilifu duniMatrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Tatizo la Tanzania hakuna wa kumkagua mwenzake, maana kila mtu ana madudu
Hajakataa Hilo tatizo Sasa hivi traffic hawadeal na ukaguzi wa vyombo vya Moto,wao wanahangaika na tozo tu🤣wamegeuka Maafisa masurufu wa TRASasa kazi ya traffic si kuangalia na madeni ya gari yanayohusu field yao ?!!!
Hilo tatizo lipo na linajulikana, tushauriane hapa ufumbuzi.Takukuru wenyewe wanakula rushwa, kwa ufupi taasisi zetu zote za kimamlaka zina uadilifu duni
Tupate katiba mpya, ili wapatikane viongozi kwa njia halali. Hii itaondoa mifumo ya kulindana.Hilo tatizo lipo na linajulikana, tushauriane hapa ufumbuzi.
Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
YAANI WE NI MSHAMBA KABISA...yaani gari mbovu ndio zinapata ajali... kwanza ni marachache sana gari mbovu kupata ajali speed huwa ipo chini kwa uzoefu wangu niliwahi kupata ajali na gari yangu mpya chanzo kilikuwa ni usingizi na wala sio pombe.. huo ni mfano kwa hio yapo mengi kama gari mbovu ndio ziznpata ajali ungeweka uzoefu wako binti weye..Umetoa gari yako mbovu ndani umeipeleka barabarani kwa makusudi yako na umehonga trafic pesa na bado tena unataka ufanyike utafiti wa nn chanzo cha ajari daah hii akili naiona Africa tu
Hao traffic wanatumwa na wakubwa zao ,wakubwa zao wana mgao inaopatikana kwa rushwa wanazochukuaMatrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Hao traffic wanaitwa wazee wa kubetiSasa kazi ya traffic si kuangalia na madeni ya gari yanayohusu field yao ?!!!
NILIWAHI KUSEMA HUMUUshauri wangu ni kwa madreva wote tungeamua kuwa ukikamtwa na traffic basi waambie wakundkie notification tu hakuna kukubali kuwapoza.
Kila basi wakifika kituo fulani wanatoaIngekuwa wana fanya kazi zao kiweledi na kwa nidhamu ya kweli haina tatizo.
Panda bus alafu uwe viti vya mbele kukuwezesha kuona kinachofanyika pale bus lnavyokaribia check point za matrafick.
Wanachukua noti wanaiviriga kwenye karatasi akifika pale wanairusha chini .
Hiyo ni njia ya kutoa hongo na halina uficho
Nafikiri ana point ila jinsi ya kuiandika hapa amechanganya au ame generalize sana.YAANI WE NI MSHAMBA KABISA...yaani gari mbovu ndio zinapata ajali... kwanza ni marachache sana gari mbovu kupata ajali speed huwa ipo chini kwa uzoefu wangu niliwahi kupata ajali na gari yangu mpya chanzo kilikuwa ni usingizi na wala sio pombe.. huo ni mfano kwa hio yapo mengi kama gari mbovu ndio ziznpata ajali ungeweka uzoefu wako binti weye..
Tz rushwa inaongozaWananchi hatuna sehemu ya kukimbilia maana kila idara ni rushwa kwenda mbele
Ni vigumu sana kupaki gari lako maana linakuwezesha kufika kibaruani kwako.NILIWAHI KUSEMA HUMU
KAMA WENYE MAGARI WANAPATA KERO KUTOKA KWA MATRAFIK
KWANINI ISITOKE SIKU MOJA
WATU WOTE WAYAPAKI MAGARI YAO TU
OVA