Hapo kwenye kulinganisha kipato na mali, SIJUI KAMA KUNA KIONGOZI ATAPONA, INCLUDING TAKUKURU WENYEWE..!!Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Wakatanta the witchNchi ngumu sana hii,wanatafuta ile billion 4 za kuzikana,zilizoyeyuka kwenye mazingira ya utata
Musiwaonee Matrafiki peke yao, Watumishi wengi wanakula kwa urefu wa kamba zao, office zote za Umma bila kitu kidogo hudumiwi kwa haraka!!Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Mada hapa ni trafiki. Haonewi mtu.Musiwaonee Matrafiki peke yao, Watumishi wengi wanakula kwa urefu wa kamba zao, office zote za Umma bila kitu kidogo hudumiwi kwa haraka!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ili kuuondoa ufisadi Tanzania ibabidi serikali ije na utaratibu na sheria kali kabisa, za kuuwana bila kuoneana haya.Hapo kwenye kulinganisha kipato na mali, SIJUI KAMA KUNA KIONGOZI ATAPONA, INCLUDING TAKUKURU WENYEWE..!!
Inasemekana, kuna mzungu aliwahi kuja kufanya utafiti kati mali za watumishi, kipato nje ya mishahara na kulinganisha gharama za maisha kwa ujumla. Ikaone, kwa kutegemea mishahara pekee, WENGI TUNGEKUWA TUMESHAKUFATanzania huwezi kumpata mtumishi mwenye kipato halali kulingana na mshahara wake.
Kama China tu..!! Ukikamatwa umefisadi na ushahidi upo, unanyongwa hadi ufe. Inasemekana, mchina aliyesimamia ujenzi wa uwanja wa taifa, wachina wenyewe wamemnyonga. Maana uwanja umejengwa tofauti na ulivyokuwa ujengwe (tofauti na design). Ulitakiwa uwe na maduka pale chini na makorokocho mengine. Wabongo alioshirikiana nao wapo kitaa na wanadunda kama kawa, wakati mwenzao huko China keshanyongwa hadi kufa.Ili kuuondoa ufisadi Tanzania ibabidi serikali ije na utaratibu na sheria kali kabisa, za kuuwana bila kuoneana haya.
Kwahiyo tukaamua kuhalalisha ufisadi ili tusife?Inasemekana, kuna mzungu aliwahi kuja kufanya utafiti kati mali za watumishi, kipato nje ya mishahara na kulinganisha gharama za maisha kwa ujumla. Ikaone, kwa kutegemea mishahara pekee, WENGI TUNGEKUWA TUMESHAKUFA
Tanzania ufisadi unaheshimikaKama China tu..!! Ukikamatwa umefisadi na ushahidi upo, unanyongwa hadi ufe. Inasemekana, mchina aliyesimamia ujenzi wa uwanja wa taifa, wachina wenyewe wamemnyonga. Maana uwanja umejengwa tofauti na ulivyokuwa ujengwe (tofauti na design). Ulitakiwa uwe na maduka pale chini na makorokocho mengine. Wabongo alioshirikiana nao wapo kitaa na wanadunda kama kawa, wakati mwenzao huko China keshanyongwa hadi kufa.
Brother uzi huu tunazungumzia juu ya trafficMusiwaonee Matrafiki peke yao, Watumishi wengi wanakula kwa urefu wa kamba zao, office zote za Umma bila kitu kidogo hudumiwi kwa haraka!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yaani wewe na sukuma gang wenzako mnakuwa na upinzani wa kijinga hata kwenye mambo ya msingiMusiwaonee Matrafiki peke yao, Watumishi wengi wanakula kwa urefu wa kamba zao, office zote za Umma bila kitu kidogo hudumiwi kwa haraka!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yaani we umeandikiwa faini halali, hutaki kulipa, mpaka inafika kikomo, unataka wakuachie uende Tu!!? Lipeni madeni ya serikali bana, acheni kumbwelambwela, huna hela uza gari, sio kupiga majunguLisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Ni kweli, na ndiyo maana hukawii kumsikia kiongozi mkubwa kabisa anatajwa kwenye kila kashfa, halafu yeye anajibu simple tu, VIJISENTI..!! Mwingine unamsikia anasema HICHO NI KIASI CHA MBOGA TU..!! Na pamoja na kauli hizo, wanaachwa kitaa wakiendeleza matukioTanzania ufisadi unaheshimika
Traffic nae ni Mtumishi wa Umma usisahau!!Mada hapa ni trafiki. Haonewi mtu.
Naomba tuwache wenye akili sawa tuendelee na mjadala husika wenye manufaa kwa taifa.Yaani we umeandikiwa faini halali, hutaki kulipa, mpaka inafika kikomo, unataka wakuachie uende Tu!!? Lipeni madeni ya serikali bana, acheni kumbwelambwela, huna hela uza gari, sio kupiga majungu
Inasikitisha sanaNi kweli, na ndiyo maana hukawii kumsikia kiongozi mkubwa kabisa anatajwa kwenye kila kashfa, halafu yeye anajibu simple tu, VIJISENTI..!! Mwingine unamsikia anasema HICHO NI KIASI CHA MBOGA TU..!! Na pamoja na kauli hizo, wanaachwa kitaa wakiendeleza matukio
Huyu mzungu alitoka nchi gani asiejua kwamba tunaishi chini ya$1 kwa siku, mpaka afanye utafiti.Inasemekana, kuna mzungu aliwahi kuja kufanya utafiti kati mali za watumishi, kipato nje ya mishahara na kulinganisha gharama za maisha kwa ujumla. Ikaone, kwa kutegemea mishahara pekee, WENGI TUNGEKUWA TUMESHAKUFA