Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,233
- 98,194
- Thread starter
- #21
Mimi wakinikamata huwa nawaaambia hapo hapo andika notification,huwa nawakera sana kuwaambia waandike notificationIla hizo rushwa nazo zinakera. Wamekuwa wanawavizia sana madereva wawapo barabarani, ili tu kutengeneza mazingira ya kupokea rushwa.
Kiufupi hawa watu ni kero kubwa kwa madereva wa magari.