Hata hao Takukuru wenyewe ni shida tu. Umewahi kuona Watuhimiwa wa Rushwa wakidakwa?? Sana sana Mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo na sio wala rushwa wakubwa.Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Wakati wa Jiwe nani alikuwa na uthubutu wa kuksoa serikali yake?Kipanya ni mnafiki,ina maana hakuona hali ilivyokuwa wakati wa Jiwe! Wakati huo kila sekta ya umma iligeuka TRA sasa hivi afadhali kidogo lakini yeye anajifanya hilo jambo limezuka sasa hivi wakati wa Rais Samia!
Ndiyo jina hilo wazee wa kubet[emoji1787][emoji1787]
Wafuasi wake wanaamini alikuwa kiongozi sahihi na ni mfano wa kuigwa na wanakataa kama alikuwa hataki kukosolewa na wala hakuwa katili!Wakati wa Jiwe nani alikuwa na uthubutu wa kuksoa serikali yake?
Tundu lissu alijitoa mhanga kukosoa kilichomtokea kila mtu anakijua
Unaweza muita hyo takukuruHata hao Takukuru wenyewe ni shida tu. Umewahi kuona Watuhimiwa wa Rushwa wakidakwa?? Sana sana Mahakimu wa Mahakama ya Mwanzo na sio wala rushwa wakubwa.
vip wale trafik ambao wamekopa na kufungua biashara kubwa huku wakiwa wafanya biashara na upande mwengine watumishi wa umma?Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
bas mpka hapo upigaji hauwez kuishaMkopo wa biashara siyo siri maana kila kitu kipo wazi
Kwamba watu wataendesha magari kama kwenye video games 😂😂Hapo sasa wakiondolewa barabarani madereva wa kisasa watazidisha ufundi badala ya kugongana uso kwa uso watakuwa wanagongana kiubavu ubavu ili amtoe mwenzie barabarani amsukumie korongoni 😅🙏
takukuru wenyewe wafanye hiyo kazi kwa uadilifu upi we kibib?Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Kipanya ni geniusLisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Polisi wote ni wezi sans zaidi ya walio magerezaniMatrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Haswaaa !! Unaona hapo juzi tu hapo kamata msimbazi abiria wanamwambia dereva hiyo treni huwezi kuiwahi lakini wapi jamaa akaipeleka daladala kuigonga treni !! Ndio madereva wengi wa kisasa tulionao Nchini wa namna hiyo !!Kwamba watu wataendesha magari kama kwenye video games 😂😂
Lakini pia kama wakiondolewa barabarani madereva wa kisasa watatumaliza huko barabarani !! Bora waendelee kuwepo hivi hivi ndio salama yetu !!Kipanya ni genius
Unajisemea hapa watu wajue una gari?Ndiyo maana nimekwambia inawezekana tunabishana wakati hata baiskeli huna