Kipanya awashukia askari wa trafiki

Kipanya awashukia askari wa trafiki

Sasa kazi ya traffic si kuangalia na madeni ya gari yanayohusu field yao ?!!!
Huu ndio ukweli.
Kama wanatoa risiti, na hela inakwenda mahala pake, tatizo liko wapi?

Yale yale ya wafanya biashara na TRA, tunatafuta njia za mkato kila sehemu sisi wananchi wenyewe.
 
Lisemwalo lazima litakuwepo tu.

Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.

Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.

Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.

Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.

View attachment 2627210
Kwani hapa tatizo ni lipi hasa?

Hiyo hela inaingia mfukoni mwa traffiki?

Au trafiki anaonea tu hata pasipokuwepo kosa?

Kama kosa lipo, sioni tatizo.
 
Kwani hapa tatizo ni lipi hasa?

Hiyo hela inaingia mfukoni mwa traffiki?

Au trafiki anaonea tu hata pasipokuwepo kosa?

Kama kosa lipo, sioni tatizo.
Tatizo inawezekana hata baiskeli huna ndiyo maana hujui shida kutoka kwa traffic
 
Huu ndio ukweli.
Kama wanatoa risiti, na hela inakwenda mahala pake, tatizo liko wapi?

Yale yale ya wafanya biashara na TRA, tunatafuta njia za mkato kila sehemu sisi wananchi wenyewe.
Kua uyaone kijana
 
Tatizo inawezekana hata baiskeli huna ndiyo maana hujui shida kutoka kwa traffic
Huko kichwani kwako kumejaa madudu.
Kuna siku yanatulia, lakini mara nyingi huwa yanarukaruka, ndiyo sababu unapoteza mwelekeo mara kwa mara unapokuja hapa na mada za kipuuzi kama hizi.

Popote duniani, trafiki atakukamata kama unayo makosa au gari lako halikidhi hali ya kuwa barabarani.
Sasa anapofanya hivyo, unataka nini wewe?

Usifikiri sijui matatizo ya trafiki wa kiTanzania, na ni watu wa hovyo kama wewe ndiyo mnaosababisha hao matrafiki wawe wa hovyohovyo kama tunavyowaona. Halafu unakuja hapa kulialia na jambo ambalo liko wazi kabisa!

Jenga hoja halisi ya ubovu wa trafiki tukusome, na tutakuelewa, lakini siyo hilo la Kipanya hapo juu bila ya maelezo ya ziada.
 
Hivi kweli unazo za kutosha kichwani mwako, au leo bangi zimepanda zaidi?
Bhangi mnavuta nyinyi uvccm ndiyo maana mwenyekiti wenu aliwahi kuisifia ya njombe
 
Huko kichwani kwako kumejaa madudu.
Kuna siku yanatulia, lakini mara nyingi huwa yanarukaruka, ndiyo sababu unapoteza mwelekeo mara kwa mara unapokuja hapa na mada za kipuuzi kama hizi.

Popote duniani, trafiki atakukamata kama unayo makosa au gari lako halikidhi hali ya kuwa barabarani.
Sasa anapofanya hivyo, unataka nini wewe?

Usifikiri sijui matatizo ya trafiki wa kiTanzania, na ni watu wa hovyo kama wewe ndiyo mnaosababisha hao matrafiki wawe wa hovyohovyo kama tunavyowaona. Halafu unakuja hapa kulialia na jambo ambalo liko wazi kabisa!

Jenga hoja halisi ya ubovu wa trafiki tukusome, na tutakuelewa, lakini siyo hilo la Kipanya hapo juu bila ya maelezo ya ziada.
Ndiyo maana nimekwambia inawezekana tunabishana wakati hata baiskeli huna
 
Jana wameniandika kosa dogo hz wepa za kutoa maji hazifanyi kaz wakaniandikia 30k nilimind Acha tu
Afadhali wakuandikie kuliko kuwapigia magoti wakati huo huo wakidengua kama miungu wa pili
 
Back
Top Bottom