Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,186
Teknolojia ichukue nafasi ili haki itendekeUshauri wako nini kifanyike.
Teknolojia ichukue nafasi ili haki itendekeUshauri wako nini kifanyike.
Well saidMatrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Tujikite kuzungumzia rushwa wanazo demand na namna ya kuitokomezasijaona tatizo kwa Askari kukagua kuhusu fine.
Japokuwa, siwezi kataa kwamba, Askari kama binadamu wengine pia wanamadhaifu. Ila kwa hili la ukaguzi wa ulipaji wa adhabu kwa mujibu wa Sheria, tutumie akili ktk kulidadavua.
Si hiyo hiyo teknolojia ndiyo wanatumia kuonesha unachodaiwa badala ya kutazama kosa ulilonaloTeknolojia ichukue nafasi ili haki itendeke
Ingekuwa wana fanya kazi zao kiweledi na kwa nidhamu ya kweli haina tatizo.Mimi hii ni kero yangu pia,lakini hujiuliza nini iwe mbadala? Kuwe na afisa wa TRA kila penye trafiki? Maana sisi madreva hatukomi? Wakiondoka hawa tutaua sana barabarani. Angalau ukifikiria tozo unakuwa na nidhamu
Well ...Nakubaliana na wewe,ila kwao 1st priority ni madeni badala ya kuangalia usalama wa chombo husika.
Ndio hiyo nafikiria nini kifanyike maana wao na TRA hakuna tofauti kiupigajiIngekuwa wana fanya kazi zao kiweledi na kwa nidhamu ya kweli haina tatizo.
Panda bus alafu uwe viti vya mbele kukuwezesha kuona kinachofanyika pale bus lnavyokaribia check point za matrafick.
Wanachukua noti wanaiviriga kwenye karatasi akifika pale wanairusha chini .
Hiyo ni njia ya kutoa hongo na halina uficho
Francis kila jioni pale grocery anamsubiri rafiki yake traffic Abel azungushe meza....anasema Abel ana roho nzuri kwa jinsi anavyowasambazia upendo....watanzania tunaichukia rushwa ilihali "zikipatikana" tunazitumia sana tuIngekuwa wana fanya kazi zao kiweledi na kwa nidhamu ya kweli haina tatizo.
Panda bus alafu uwe viti vya mbele kukuwezesha kuona kinachofanyika pale bus lnavyokaribia check point za matrafick.
Wanachukua noti wanaiviriga kwenye karatasi akifika pale wanairusha chini .
Hiyo ni njia ya kutoa hongo na halina uficho



Wanaogopa nini kusema karne hii ya 21?!!!Moja ya chanzo cha mapato ingawa haisemwi Sana kwa serikali ni pamoja na faini na ada mbalimbali hasa hizi za barabarani ndio maana wanakomaa Sana kama una deni na hujalipa au kama una kosa wakuandikie cheti



Hapo sasa wakiondolewa barabarani madereva wa kisasa watazidisha ufundi badala ya kugongana uso kwa uso watakuwa wanagongana kiubavu ubavu ili amtoe mwenzie barabarani amsukumie korongoni 😅🙏Dah! Ila kiukweli askari wa usalama barabarani wanakera sana. I wish wasingekuwepo kabisa, halafu ziwekwe tu camera za cctv kote nchini, za kuangalia mienendo ya madereva wawapo barabarani.
Umenena !Watanzania tunapenda:-
1)Kuchangiana harusi ,kipaimara ,"shughuli",ngoma ,maulid ,jando,unyago.
2)Kutunzana
3)Kuzungusha "mezani"
Ila RUSHWA tunachukia.....sijui hizo Fedha zinapatikana kwa chumo gani la halali ?!!!![]()
Rushwa ilikatazwa tangu enzi hizoWatanzania tunapenda:-
1)Kuchangiana harusi ,kipaimara ,"shughuli",ngoma ,maulid ,jando,unyago.
2)Kutunzana
3)Kuzungusha "mezani"
Ila RUSHWA tunachukia.....sijui hizo Fedha zinapatikana kwa chumo gani la halali ?!!!![]()
TPRA.. Means Traffic Police Revenue Authority.Lisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210