Kipanya awashukia askari wa trafiki

Kipanya awashukia askari wa trafiki

Bora huku mjini nje ya mji unakuta amesimamisha gari anatembea ndani nje ya barabara na magari yanapita kwa kasi sijui huwa wanajiamini nini
Wengi wanapasuliwa ujue kwa hiyo jeuri yao
 
Hao watakuwa madereva wasiyo na sifa ndiyo maana wanapenda sana kupoza poza maana bila hivyo hawataweza kuendesha magari kwenye uhitaji wa professional
Hapa mjini sisi wendesha daladala hata viwango vya rushwa viko fix bei.
1.Kupita taa nyekundu 10,000
2. Kupanua njia 2000
3. Kupakia njiani 5000
4. Kutokua na lessen 10000
5. Kukatisha route 5000
6. Kutofunga mkanda 1000.
Na wanamalizana na konda we dereva utoki, anakuuliza wewe dereva watoka ile iwe je? Konda hayupo........Tz hi ningumu sana kutoboa.
 
Marafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Nadhani hata hawa ni wezi na wala rushwa!
 
Wakuandikie ili ukalipe faini halali serikalini ili wakose kabisa hiyo rushwa.
We nilipe 30,000 badala ya kutoa rushwa 10k huo uzalendo ntakua nimeupatia wapi af ukichelewa zaidi ya siku saba inazaa badala ya 30k unalipa 60k.
 
Issue ya trafiki hapa Tanzania imeshindikana. Mzee Kinana alitoa maelekezo yakapuuzwa! Mimi juzi nimesimamishwa mara 4 kuanzia bunju, kunduchi, njia panda whitesands na Mikocheni.

Hapo Mikocheni ilibidi nihoji why huu usumbufu? Kwanini wasiwe na stika ili ukikaguliwa usisumbuliwe labda kama wana shaka juu ya uhalifu? Baada ya mahojiano wakanipa pole na kuniruhusu.
 
Hapa mjini sisi wendesha daladala hata viwango vya rushwa viko fix bei.
1.Kupita taa nyekundu 10,000
2. Kupanua njia 2000
3. Kupakia njiani 5000
4. Kutokua na lessen 10000
5. Kukatisha route 5000
6. Kutofunga mkanda 1000.
Na wanamalizana na konda we dereva utoki, anakuuliza wewe dereva watoka ile iwe je? Konda hayupo........Tz hi ningumu sana kutoboa.
Aisee poleni sana kwa huo msala
 
Sijawai kusimamishwa na traffic akanambia naomba kukagua gari yako hawakagui tires,hand sign ,taaa ,honi ,mikanda ,breki za magari wakikusimamisha 1st think ni kudai leseni ili usiwe na nguvu ya kuondoka..
Kwao kukagua gari ni kuingiza number ya gari kwenye mashin yao kuona kama unadaiwa ndo ukaguzi wanao jua tu.
 
Issue ya trafiki hapa Tanzania imeshindikana. Mzee Kinana alitoa maelekezo yakapuuzwa! Mimi juzi nimesimamishwa mara 4 kuanzia bunju, kunduchi, njia panda whitesands na Mikocheni.

Hapo Mikocheni ilibidi nihoji why huu usumbufu? Kwanini wasiwe na stika ili ukikaguliwa usisumbuliwe labda kama wana shaka juu ya uhalifu? Baada ya mahojiano wakanipa pole na kuniruhusu.
Nafikiri huo ni mkakati wa kuhakikisha kila aliyepewa jukumu la kuwasiisha kiasi anafanikiwa kufanya hivyo
 
Marafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
"marafiki" ndio "matrafiki"!!??
"wite" ni lugha ya Mkuranga!!??
Huko shule ulienda somea ujinga!!??
 
Marafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Unadhani wao hawali rushwa? Mwizi amkamate mwenzie! 🤣🤣🤣🤣
 
Issue ya trafiki hapa Tanzania imeshindikana. Mzee Kinana alitoa maelekezo yakapuuzwa! Mimi juzi nimesimamishwa mara 4 kuanzia bunju, kunduchi, njia panda whitesands na Mikocheni.

Hapo Mikocheni ilibidi nihoji why huu usumbufu? Kwanini wasiwe na stika ili ukikaguliwa usisumbuliwe labda kama wana shaka juu ya uhalifu? Baada ya mahojiano wakanipa pole na kuniruhusu.
Mkuu ulikua na ile stika ya kuenda usalama barabarani ni ya sh 5000, ila traffic kule moshi rushwa yake 10000 usipo lipa anakuandikia mkeka wa 30k, unaona wizi kama huo stika ni ya 5000 kihalali rushwa ni kubwa kuliko stika tena hapo stika hajakupa mpaka uenda kituoni ununue ukifika wanasema umechelewa kununua tunakupiga fine ndo tukupe au lipa 10000 tugawana naserikali 5000. Nchi ngumu kutoboa sio rahisi.
 
pamoja na kuiongeza wingi wa trafic polisi hawajapunguza idadi ya ajalia sana sana wameongeza wigo wa gari mbovu kuendelea kutembe mitaani..hasa za abiria hapa mitaa ya shy kahama nzega ukitoa gari yako unachange noti za 1000 au 2000 kila kituo unaacha 2000 kituo ambacho kuna soko au gulio siku hio mfano polisi wa siaka siku ya jmosi na didia siku ya j3 na tinde siku ya j4 lazima uwape 5k kwa siku tajwa kituo tajwa maana rout za hapo zitakuwa nyingi na utafanya makosa mengizaidi na watafumba macho vituo vyengine utawaachia elfu mbili kwa siku..tembeza buti ikiwa wazi au mzigo na abiria hakuna wa kukusemesha...mi naona wasingekuwepo kabisa na utafiti ungefanyika nini kinasababisha ajali kama ni speed wafungiwe vingamuzi kama vya sumatra atakayezidisha anakutana na faini juu kwa juu....

Umetoa gari yako mbovu ndani umeipeleka barabarani kwa makusudi yako na umehonga trafic pesa na bado tena unataka ufanyike utafiti wa nn chanzo cha ajari daah hii akili naiona Africa tu
 
Matrafiki wote ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.

Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.

Mawee.
Wao wwenyewe ni wala rushwa wakubwa
 
Askari jukumu lake ni kusimamia Sheria na kuhakikisha watu wanatii sheria. Kwa mujibu wa Sheria, utozwaji wa fine kwa makosa ya barabarani ni moja moja ya hatua ya kutoa athabu. Hivyo, sijaona tatizo kwa Askari kukagua kuhusu fine.
Japokuwa, siwezi kataa kwamba, Askari kama binadamu wengine pia wanamadhaifu. Ila kwa hili la ukaguzi wa ulipaji wa adhabu kwa mujibu wa Sheria, tutumie akili ktk kulidadavua.
 
Back
Top Bottom