KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,348
Reaction score
1,097
Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake.

Ukiangalia maduka mengi ya simu yamejaza VIOO . Hii inaashiria kuwa ni bidhaa pendwa au Wana hakika ni lazima watanunua kwa kuwa haidumu .
 
Kusema kuwa ni vioo vya simu za android unakuwa huko sahihi. Sema bidhaa fake za mchina. Pengine inaweza kuwa ni simu au kioo au vyote. Simu za android zinatumika duniani kote lakini hazina hili tatizo. Au huelewi maana ya simu za android? Pengine unadhani simu fake za mchina ndiyo zinaitwa hivyo?
 
Inamaana wanatengeneza bidhaa dhaifu ili uendelee kununua??, Ukoloni wa kibiashara huo, ngoja nivumbue ya kwangu soon,watakoma.
Wafanya biashara wanaleta bidhaa za bei chee ndo zinanunuliwa kirahisi wakileta za bei ghali hamtonunua
 
Back
Top Bottom