bila sababu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Tafuta mtu asiyekujua mlipe pesa akutukane bila sababu ni tiba kubwa sana

    Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni hata watatu na wao wasiokujua wawe wanasikiliza Mwambie changamoto zako zote huyo mtukanaji, tena...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  3. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupigwa ban na WhatsApp bila sababu ya msingi?

    Hii December nimepigwa ban mara sita Nimetumia number mpya hiyo hiyo ikapigwa ban Nimeadd member kwenye group nikapigwa ban Nimetuma text kwa chatgpt nikapigwa ban Kurud hiv vitu vikawa vinarecover Kutuma text kidogo ti ban Ban ban Christmas ban Je wewe hii hali ishawahi kukutokea? Ni...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  5. uvugizi

    JamiiForums Tanzania KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  6. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Napitia Changamoto ya kuchukiwa na watu bila sababu

    Mimi nina miaka 26, ni mama wa mtoto mmoja, na naishi na mzazi mwenzangu. Changamoto yangu kaka ni kuchukiwa na watu bila sababu.😭💔 Sijui kama kuna watu wanapitia hali kama yangu, inanitesa sana hiyo kitu. Ipo hivyo toka nikiwa mdogo. Nikiwa marafiki, lazima watasema mambo yangu ya siri kwa...
Back
Top Bottom