Dah... Ila jamaa hiyo trouser yake ..!!! Too old fashioned..View attachment 1306663View attachment 1306664
Rose Sarwatt ambaye ni kiongozi wa Shirika la Wajane Tanzania (TAWIA), amefunga pingu za maisha na mchumba wake Haron Mpole kwenye kanisa la SDA Magomeni Jijini Dar es Salaam.
Amekaa upweke kwa miaka 11 baada ya kufiwa na mumewe.
ZittoAkabidhi kijiti kwa jack mengi au mke wa filikunjombe wana msimamo wanaweza wasiolewe tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwakuta utasikia kuolewa ni utumwa.Kama kazi,fedha,nyumba,gari na biashasha(baadhi yao? ninayo.Tabu ya nini kuwa chini ya himaya ya mlevi/mnuka jasho/kwapa?Kila mwanamke anatamani ndoa sema tu wengi wao wanaangukia kwenye usingo maza
ni chama wanaitwa mabaloziiNa bwana harusi hii scarf ni TANU Youth League au Scout?
Umeolewa? Au na we ni singo maza?Ukiwakuta utasikia kuolewa ni utumwa.Kama kazi,fedha,nyumba,gari na biashasha(baadhi yao? ninayo.Tabu ya nini kuwa chini ya himaya ya mlevi/mnuka jasho/kwapa?
Kama ni mkuyenge akina Masasawe,Musherija,Mwita,Qwarima,Drooboy, na washenzi wengine wakijilengesha siku moja moja nampa maisha yanasonga.
Lakini mioyoni mwao ni fukuto la moyo.Wale wasio na maisha wao kutwa nzima kudanga kujaribu bahati na waosha rungu wanachapa kweli kweli na kusepa.
Tatizo linaweza kuwa;
1.Mapepe na kudanga kwingi
2.Majivuno/kiburi na selectives nyingi
3.Sura kama kipande cha lami
4.Sura nzuri kujiona matawi ya juu
5.Tamaa ya fedha na nyege nyegezi
6.Handaki/bwawa la Mtera
AGALIZO: KUNA WANAUME WENGINE NAO NI PASUA KICHWA HATA KWA KULUMANGIA HAWAFAI ASLANI,BORA MWANAMKE/MSICHANA/MAMA AKAE SINGO TU.
nk, nk, nk, nk-ongezeeni sababu zingine.
Sipotoshi na tusipotoshane.
😆😆😆😆Dah... Ila jamaa hiyo trouser yake ..!!! Too old fashioned..
Aksante YEHODAYA ila wewe ni mbishi kwa tabia. Mbona unawagusa hao wenzetu?? Kwani ukisema tu kuwa kuna wasioijua biblia utapungukiwa nini?? Mengine yote, nakuunga mkonoAlikuwa aliendesha Chama kinyume Cha biblia Biblia inataka wajane vijana waolewe.Naunga mkono mjane yeyoye ambaye hajafikisha miaka sitini hastahili kuitwa mjane na hatakiwi kuwemo.
chama Cha wajane labda awe mwislamu.Wasabato hawajui biblia
Mjane kaolewa na mgane. Hiyo imekaa vzrKama ni mjane?Inaelekea unamfahamu status yake, tiririka Mkuu.Kumbuka walijuana muda mrefu hao.Harusi ilikuwa fomalite tu.
Umeolewa? Au na we ni singo maza?
View attachment 1306663View attachment 1306664
Rose Sarwatt ambaye ni kiongozi wa Shirika la Wajane Tanzania (TAWIA), amefunga pingu za maisha na mchumba wake Haron Mpole kwenye kanisa la SDA Magomeni Jijini Dar es Salaam.
Amekaa upweke kwa miaka 11 baada ya kufiwa na mumewe.
Unazikua bikira wewe?Hata km angevaa shela lkn siyo nyeupe. Tatizo watu wengi huwa wanavaa shela bila kujua kwa nn wanavaa na wavae rangi gani. Shela nyeupe huvaliwa na binti anayeolewa akiwa bikra. Huwezi kuvaa shela nyeupe ukiwa unabariki Ndoa. Ni kuondoa thamani ya wale wanaostahili....!!
Sent using Jamii Forums mobile app