Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,450
- 283,763
Hayakuhusu mkuu.Uliambiwa kuna mgonjwa miongoni mwao?Acha watu wale maisha na kupiga vyombo.Hahahaha!!!
MmhKila mwanamke anatamani ndoa sema tu wengi wao wanaangukia kwenye usingo maza
Tena na gauni leupeNi mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.
Tena halijampendeza, yaani huyo bibi hapo kavaa gauni la blue kapendeza kuliko yeye.Tena na gauni leupe
Unajuaje kama alianza kuburudika siku nyingi. Leo wameamua tu kuwafunga midomo wambea.Jamaa anaenda kutoa buibui na mavumbi yaliyokaa miaka 11 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bwana harusi hii scarf ni TANU Youth League au Scout?Tena halijampendeza, yaani huyo bibi hapo kavaa gauni la blue kapendeza kuliko yeye.
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π π π π πJamaa anaenda kutoa buibui na mavumbi yaliyokaa miaka 11 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bwana harusi hii scarf ni TANU Youth League au Scout?
Paulo anatuambia; Tusimwite mwanamke yeyote "Mjane" hadi afikishe miaka 60. Huyo mlimchagua kuwa m/kiti sasa chagueni mwingine haraka lakini awe zaidi ya 60
Ni mimi labda kutokujua.
Lakini,
Sijaona sababu ya msingi yeye kuvaa shela tena.
Angeweza kuvaa vazi lingine zuri tu.