Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

KKKT ni dhehebu!?Ningekuelewa ungesema ni kikundi cha wasaliti wa enzi na enzi!
Sasa unaanza kuvuka mipaka na tutakujibu, acha upumbavu Wa kuchafua madhehebu ya watu. Usidhani tuliokaa kimya mkiingiza upuuzi wenu hatuwezi kuongea. Sijachangia chochote kuhusu mabishano yenu lakini unapoanza kudharau dhehebu lenye waumini zaidi ya milioni 1 nakuona zuzu tu.
 
Tunaelekea pabaya,viongozi wa dini,tafakarini jsmbo kwa undani kabla ya kulizungumza na vyombo vya habari: kumbukeni yafuatayo:
1:mna wafuasi wengi
2: mnao uwezo wa kushawishi kwa kupitia makanisa au misikit
3, mnasikilizwa na waelewa na wasiokuea waelewa.
Hivya neno au kauli tata inaweza leta kutoeleeana katika jamii na viongozi wa dini!
2:
 
Sasa unaanza kuvuka mipaka na tutakujibu, acha upumbavu Wa kuchafua madhehebu ya watu. Usidhani tuliokaa kimya mkiingiza upuuzi wenu hatuwezi kuongea. Sijachangia chochote kuhusu mabishano yenu lakini unapoanza kudharau dhehebu lenye waumini zaidi ya milioni 1 nakuona zuzu tu.
Mpo 1milion sawa.Baba zenu Wakatoliki wapo wangapi?
 
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!
pengo ni pengo tu labda uende kwa dentist!
 
Lowasa " imefika wakati nchi iongozwe na Waluteli " hii ndo KKKT ninayoijua mimi
 
Niwemugizi alipaswa kupewa tuzo ya Nobel kuthubutu kusema ukweli ambao baadhi ya viongozi wa dini wanauvalia kwenye majoho
 
Uongo wa mleta mada hii amesahau kudanganya pale anaposema Press conference itakayoitishwa !KKkT Hawafanyajj ujinga huo.
 
Pengo yuko sahihi. Hao. KKKT. wamekuwa wanasiasa tu za watanua Vidole
 
Wacha tuone mpasuko wa madhehebu baada ya dhehebu la kaskazini kukosa kutawala sasa wameamua kujivua nguo!
 
Back
Top Bottom