Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

YEYE ATOE TAMKO LAKE MAMBO YA KUMJIBU PENGO KWANI PENGO NDIO SERIKALI.NA HAWA VIONGOZI NAO HAWAELEWEKI!! ATOE TAMKO LA KKKT KUHUSU SERIKALI!
 
Viongozi was Dini wameingia kwenye siasa . Jwa dhehebu LA KKKT hatushangai kwani hats Mamvi alisema imefika wakati Nchi iongozwe na Waluteli
Na kiongozi wao ana chuki zilizo wazi kabisa kwa Rais maguful
 
Mimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.
Pengo sawa ba Gwajima? Askofu?
 
Pengo kasemea mchungaji wake. Nakusema ayakuwa la kabisa lao. KKKT inakuhuma nini? Wewe sema ya kwenu. Sio ya RC. Pengo na kamati yao wakiongea na Rais wa kamati you watasema huu ya katiba.
 
Mwachate apotee na waumini wake wewe hayakuhusu
Hata mi ni mkatoliki wa kuzaliwa ,kubatizwa na ndoa lakini kitendo cha pengo kimenifedhehesha sana ina maana anafurahia jinsi nchi inavyoenda ? Mauaji ,utekaji na uvunjifu wa katiba haoni ? Bora angekaa kimya kuliko anavyojibu jibu Au ule mgao wa escrow ndo unamfanya ajiTIE yupo karibu na serikali ! Kweli Gwajima alisema Pengo ni msaliti ni kweli kabisa naamini !
 
Mimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.
Nenda tu kwa Gwajima maana inaonekana we si mkatoliki.
 
Hata mi ni mkatoliki wa kuzaliwa ,kubatizwa na ndoa lakini kitendo cha pengo kimenifedhehesha sana ina maana anafurahia jinsi nchi inavyoenda ? Mauaji ,utekaji na uvunjifu wa katiba haoni ? Bora angekaa kimya kuliko anavyojibu jibu Au ule mgao wa escrow ndo unamfanya ajiTIE yupo karibu na serikali ! Kweli Gwajima alisema Pengo ni msaliti ni kweli kabisa naamini !
Wewe ni fake!
 
Kumbe ndiyo maana watu huwa wanasema kanisa katoliki ni sehemu ya Serikali
 
Huyo Pengo naye anajifanya kama mkulu sasa....
yan tamko lazima lianzie kwake ndio likubaliwe na waumini wote wa dhehebu lake au?????
 
Hata mi ni mkatoliki wa kuzaliwa ,kubatizwa na ndoa lakini kitendo cha pengo kimenifedhehesha sana ina maana anafurahia jinsi nchi inavyoenda ? Mauaji ,utekaji na uvunjifu wa katiba haoni ? Bora angekaa kimya kuliko anavyojibu jibu Au ule mgao wa escrow ndo unamfanya ajiTIE yupo karibu na serikali ! Kweli Gwajima alisema Pengo ni msaliti ni kweli kabisa naamini !
Hukuneelewa Pengo. Ukutaka kumwelewa weka ITIKADI ya chama chako pembeni afu mchambue .
 
Back
Top Bottom