Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Pengo ni dola km ilivyo dola la Tz ndg.Pengo na gwajima ni mbingu na ardhi!
Pengo ni askofu wa Darisalama na Gwajima ni Askofu wa Tanzania nzima hivi hapa nani mwenye mandate?

Au na wewe ni miongoni mwa kundi la wajinga mnaoamini Pengo ni askofu wa Tanzania? Mamlaka ya Pengo yanaishia hapo Kiluvya tu akivuka daraja kuingia kibaha hana mamlaka napo.
Pengo ni dola km ilivyo dola la Tz ndg.Pengo na gwajima ni mbingu na ardhi!

Mkatoliki hawezi hata kumlinganisha paroko na gwajima
 
Mbona humu jamvini naona watu "ww c mkatoliki " kwani ukatoliki ni dili sana ? Ukristo wa MTU ni matendo.kwa Mungu atutaulizwa kama wewe ni mkatoliki Bali tutakuwa responsible for what we did, je tulisimamia Yale yaliyo ya Haki ?
 
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!
hata waumini wake zaidi ya nusu hawamtaki na waliobaki,wansubiri kumsikia ktk kutetea waumini awamuoni,walikuwa akidhania anajipanga.kwa jinsi alivyotoka.Kuanzia makasisi wake, na waumini waliokuwa wakisubiri pengine atatoka kiutu uzima jamaa ka disapear hawatamtata tena.Huwezi lala na ccm ukasalimia dunia ya leo. mapadri wapi wanataka baada ya mwenzao kuuwawa, zemji,makanisa kuungua, balozi wa papa kapewa kitu hakuna majibu? hukusikia kipindi uchaguzi au hukupita makanisani uone jinsi wakatoliki wamechoka.ambao hawakuonyesh akuchoka ni wale wakabila au wenye mahusiano binafsi na viongozi wa serikali.
 
Ndiyo kiongozi pekee wa kiroho anayeweza kumkemea kiongozi yeyote wa nchi hii!
Hamna kitu huyo, Gwajima alisha muona kuwa ni kilaza wa kidini, tatizo baada ya kulambishwa na fedha za escrow, RC ilipoteza mwelekeo. Kama hawakuona aibu kula hela za wananchi kupitia escrow pia walisha poteza na credibility
 
"Ndugu zangu Walutheri"!!! Naona wanatekeleza maagizo na mfadhili wao.
Huna ufahamu wewe. Nani mfadhili wa Walutheri; Kama unamzungumzia Lowassa basi wewe hujui unachoongea. Lutheran Church imekuwepo tangu 1500 A.D je Lowassa alikuwepo?. Mwogope Mungu
 
Huyu mzee pengo ameisha expire tayari...!
 
Mimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.

Wewe Sio mkatoliki wewe moja chadema Pili mjinga. Tatu ant correct thinking and nne logically and metaphysically you are a non entity. Mtu akiwa kinyume cha siasa zako uchwara Sio adui yako. UKWELI UTAWAWEKENI huru. Na hizi Hela mnazopewa zitawarudia kwa Laana Kubwa. Endeleeni tu eti aksofu Gwajima Nenda Nchi ni huru Nenda mkaliamshr dude nyumba ya MUNGu. Mahali Pa mazungumzo y Mungu na mwanadamu. Unajihita mkatoliki then unaona Sawa kamidani kujadilia Watu. Kanisa. Ohhhhh kweli Watu wanakufa kwa kupoteza maarifaaaa
 
Katoliki kuna utaratibu wake aliyo yasema Askofu pengo ni maoni yake, yupo ambaye akitoa tamko ni la Kanisa katoliki
 
Mimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.
Wewe nina mashaka na ukatoliki wako

1)Cha kwanza naomba kukuuliza umeelewa kwanza maneno au maoni aliyo ongea kiongozi wako wa kiroho au umesikia kutoka kwa watu???

2) Kama umemsikia au kusikia kutoka kwa watu umetafsiri vipi???

Sasa ngoja nikueleweshe mkatoliki
+Nia ya cardinal pengo ilikuwa ni kufasiri au kufafanua maneno aliyosema Rais wake Wa baraza la maaskofu katoliki Wa jimbo la ngara kwamba maneno aliyozungumza rais wake sio msimamo au walaka wa kanisa katoliki kwasababu wao wanataratibu zao kibaraza

2)Cha Pili katolea maelezo kwamba maneno aliyonena yule askofu ni maoni binafsi na sio msimamo wa maaskofu katoliki na kwakuwa kila mtu ana haki ya kutoa maoni ni sawa tu yeye hapingi lakini maoni yake yasifanywe kama tamko LA
Kanisa katoliki.

NB
Pengo katoa ufafanuzi k
huo kutokana na maneno mengi yanayosemwa mtandaoni juu ya tamko lililotolewa na rais wake wa jimbo la ngara
 
Back
Top Bottom