Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Kiongozi wa KKKT kumjibu Pengo kesho

Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!



Kwani masuala ya Kabisa Katoliki huwa yanajibiwa na Walutheri?
Katoliki haijawahi kuyumba shauri ya hierarchy yao haitetereki. Kumbuka kuhusu Askofu Koda.
 
Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.

Yetu macho!
Kama ni kweli lazima atakuwa wa kanda ile!hatujamtuma atusemee labda kama ni maoni yake na familia yake na chama chake!
 
Atar sana kua na kiongozi wa dini mnafiki km pengo
 
Mimi ninachojiuliza ni nini kimemfanya pengo atoke huko alikotoka na aseme ati ile sio msimamo wa Kanisa katoliki.. Kwani yule Padre alisema anatoa msimamo wa kanisa??
 
Back
Top Bottom