NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
Wa kwanza mzee Boganza,Mwamakula na Ponda kubwa la maadui.
Ni kweli mkuu, ila maasikofu wanatakiwa wahubiri siasa ya imani. Siasa isiyo onekana kwa macho. Wakihubiri siasa inayoonekana watapotea na kuanza kubishana majukwaani.Ndugu hakuna kazi ngumu kama kitenganisha dini na siasa. Haya makundi mawili yanategemeana kwa kiasi kikubwa sana.
unapepo, Bwana wetu Yesu Kristo ni mtakatifu, mpe maisha yako atayachukua mapepo yakoHata Yesu alifanya makosa hayahaya alimponyesha mama mwenye kibiongo tena Siku ya sabato.
Mlete mada ameleta ujinga. Eti kuna amani ya Mungu na amani ya kisiasa.Amani ya kisiasa ni ipi?
Amani ya kidini ni ipi?
Kuombea wagonjwa ni karama ambayo Mungu hampi kila mtuMaaskofu wa makanisa ya KKKT, Anglikan,Moravian,na RC,Wengi wao ukisikiliza mahubiri yao utazani hotuba ya wakuu wa mikoa.Mahubiri yao hayana upako kabisa. Shida ilianza baada ya kukubali kutumika kisiasa.Biblia wanaigusa gusa tu juu juu. Ndio maana hata kuombea wagonjwa hawawezi. Kitu wanachoweza ni kuunga juhudi.
Daah! Mkuu naomba utie nyama kidogo ktk maelezo yako haya mfupi lkn yamevuta hisia zangu sanaIt's hard to free fools, from the chain they revere- Voltaire.
Tatizo linakuja hapa, muafrika anapenda sana dini kiasi ambacho hata uelewa wa kawaida anautupa kule.
Ni ya kuhubiri wanasiasa waeleane wao kwa waoAmani ya kisiasa ni ipi?
Amani ya kidini ni ipi?
Wanajiita wataalamu wa theologyMaaskofu wa makanisa ya KKKT, Anglikan,Moravian,na RC,Wengi wao ukisikiliza mahubiri yao utazani hotuba ya wakuu wa mikoa.Mahubiri yao hayana upako kabisa. Shida ilianza baada ya kukubali kutumika kisiasa.Biblia wanaigusa gusa tu juu juu. Ndio maana hata kuombea wagonjwa hawawezi. Kitu wanachoweza ni kuunga juhudi.
Hapo unaongopa. Huo pia ni mujibu wao kwa sababu wanaofanya siasa Jumapili huenda kuabudu kwao. Lkn pia nao wanaishi kwenye Siasa hiyo hiyo.hiyo sio kazi ya kiongozi wa dini,
umeshindwa kuelewa sentensi ndogo kabisa.Mlete mada ameleta ujinga. Eti kuna amani ya Mungu na amani ya kisiasa.
Anayetakiwa kuwa na amani ni mwanadamu, na siyo Mungu. Na binadamu ili awe na amani, kunahitajika mambo mengi kwa pamoja, yaani mambo yanayogusa mwili na yale yanayogusa roho.
Aliyeleta mada hii ni mjinga anayedhani kuna wajinga kumzidi yeye ambao wanaweza kupokea hoja yake ya kijinga.
Ni matendo ya mwili ndiyo ambayo huifanya roho iwe na amani au ikose amani. Huyu mleta mada, kwa ajinga tu, hajui kuwa dhambi hutendeka katika mwili, lakini adhabu yake siku ya mwisho ni kwa roho, na siyo mwili.
Uovu wa mwili ndiyo huiangamiza roho. Anayetenda uovu kwa kuoitia shughuki za kisiasa, hana tofauti na anayetenda maovu katika maisha yao ya kawaida. Matendo ya kawaida maovu ya binadamu na yale kwa kupitia siasa, au humletea mwanadamu amani (yeye mwenyewe au wengine) au kumwondolea amani (yeye mwenyewe au wengine).
Kama tunataka kuleta amani ya roho ni lazima matendo yetu na shughuli zetu zote ziwe za haki kwa kadiri ya kweli ya Mungu. Biblia inatamka kuweni watu wa haki katika yote maana haki huleta amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada anatakiwa kuwa mwalimu wa maaskofu na mashehe akina Bagonza, Ponda, Mwamakula nk Tanzania ana hoja nzito sanaWa kwanza mzee Boganza,Mwamakula na Ponda kubwa la maadui.