Askofu Kilaini Awaonya Viongozi wa Dini Kutumika Kisiasa

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Baadhi ya viongozi wa dini chini wamesema wanachukizwa na vitendo ya viongozi wenzao Kujlingiza katika masuala ya kisiasa, hali itakayosababisha upotevu wa amani na utulivu.

Walisema dini na siasa ni vitu viwili tofauti, hivyo waendelee kuitunza heshima ya serikali kwa viongozi wa dini na upendo wa kweli uzidi kuimarika chini kwa kubakia kueneza dini.

Akizungumza Dares Salaam jana na gazeti hili, Askofu Msaidizi wa Jimbo la Katoliki Bukoba, Askofu Method Kilaini, alisema siasa na dini vikichanganyika vinakuwa na madhara makubwa kwa jamii.
Askofu Kilaini alisema mwaka 1992, ulivyokuja mfumo wa vyama vingi nchini walikaa viongozi wa madhehebu wa dini zote na kuweka msimamo kuendelea na maadili ya kidini.

"Tayari tulishawekeana msimamo tangu mwaka 1992 na tulisema tukichanganya hivi vitu viwili kati ya dini na siasa tutakuja kuigawa nchi," alisema.
Aliongeza walikubaliana kuwa hata kama wanataka kuikosoa serikali, wataikosoa kwa kufuata miongozo ya dini inavyosema.

"Katika kikao hicho cha pamoja tulikubaliana kuwa dini ifanye mambo yake na siasa ifanye yake isichangamane kwa lengo la kuzuia mtafaruku kati ya dini na siasa visitokee,"alisema.

Naye, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salumu, alisema serikali ina uwezo wa kufanya chochote kwa sheria zilizopo kwa taasisi yoyote ya dini, lakini ina heshimu utaratibu wa dini.

"Kama serikali inaheshimu taasisi ya dini na sisi tuendelee kuziheshim na tusiharibu hiyo heshima yetu. Kama mtu anakuheshimu, lakini wewe unalazimisha afike mahali afanye jambo avunje heshima hiyo, halijakaa vizuri, tusifike huko," alisema.

Sheikh Alhad alisema serikali iendelee kuwavumilia viongozi wa dini na kuzungumza nao kila wakati, lengo ni kutunza amani iliyopo huku akikemea tabia iliyojitokeza kwa baadhi ya watu wanaojiita viongozi wa dini, wakati siyo.

"Naiomba serikali ikiona watu wa aina hiyo wawaite na kuwahoji kwa kina na wasibabaishwe, wakiona wamevaa kanzu kubwa na makoti makubwa kumbe si viongozi wa dini na hawana taasisi yeyote ya dini." alisema

Juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yusuf Masauni aliwataka baadhi ya viongozi wa dini kuacha tabia ya kuzishughulisha taasisi zao na mausala ya kisiasa

Kwa kuwa jambo hilo ni kinyume cha sheria ya nchi namba 337 ibara 39(b). Sheria hiyo inaelezea utenganisho wa kidini na kisiasa a ilitungwa kubaini madhara yanayoweza kusababaishwa na baadhi ya wanasiasa kutumia dini kufikia malengo yao.
 
Kwa kilaini! sikuamini kabisa toka uchukue fedha za ruge! Usikute umelambishwa tena! Bravo Pengo alikutimua TEC kurasini!
 
Kilaini huyu aliyelamba bingo ya escrow au mwingine?
 
Sielewi somo, kiongozi wa kidini akiona kiongozi anaefaa asiwashauri waumini wake kumchagua? Najua siasa ni maisha ya watu, mchungaji ni sehemu ya hayo maisha, akae kimya?
 
Kilaini kwani Bandali ni swala la Kisiasa? Au we Nchi yako ni Vatican? Au na wewe umepewa pesa hizo? maana nakumbuka za Escro mpaka viongozi wa dini mlipewa.
 
Laana ya 2005 inamtafuna huyo mpuuzi...watoto wa juzi wanakua maaskofu yeye yupo yupo tu hapo!!
 
Baadhi ya viongozi wa dini chini wamesema wanachukizwa na vitendo ya viongozi wenzao Kujlingiza katika masuala ya kisiasa, hali itakayosababisha upotevu wa amani na utulivu.

Walisema dini na siasa ni vitu viwili tofauti, hivyo waendelee kuitunza heshima ya serikali kwa viongozi wa dini na upendo wa kweli uzidi kuimarika chini kwa kubakia kueneza dini.

Akizungumza Dares Salaam jana na gazeti hili, Askofu Msaidizi wa Jimbo la Katoliki Bukoba, Askofu Method Kilaini, alisema siasa na dini vikichanganyika vinakuwa na madhara makubwa kwa jamii.
Askofu Kilaini alisema mwaka 1992, ulivyokuja mfumo wa vyama vingi nchini walikaa viongozi wa madhehebu wa dini zote na kuweka msimamo kuendelea na maadili ya kidini.

"Tayari tulishawekeana msimamo tangu mwaka 1992 na tulisema tukichanganya hivi vitu viwili kati ya dini na siasa tutakuja kuigawa nchi," alisema.
Aliongeza walikubaliana kuwa hata kama wanataka kuikosoa serikali, wataikosoa kwa kufuata miongozo ya dini inavyosema.

"Katika kikao hicho cha pamoja tulikubaliana kuwa dini ifanye mambo yake na siasa ifanye yake isichangamane kwa lengo la kuzuia mtafaruku kati ya dini na siasa visitokee,"alisema.

Naye, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salumu, alisema serikali ina uwezo wa kufanya chochote kwa sheria zilizopo kwa taasisi yoyote ya dini, lakini ina heshimu utaratibu wa dini.

"Kama serikali inaheshimu taasisi ya dini na sisi tuendelee kuziheshim na tusiharibu hiyo heshima yetu. Kama mtu anakuheshimu, lakini wewe unalazimisha afike mahali afanye jambo avunje heshima hiyo, halijakaa vizuri, tusifike huko," alisema.

Sheikh Alhad alisema serikali iendelee kuwavumilia viongozi wa dini na kuzungumza nao kila wakati, lengo ni kutunza amani iliyopo huku akikemea tabia iliyojitokeza kwa baadhi ya watu wanaojiita viongozi wa dini, wakati siyo.

"Naiomba serikali ikiona watu wa aina hiyo wawaite na kuwahoji kwa kina na wasibabaishwe, wakiona wamevaa kanzu kubwa na makoti makubwa kumbe si viongozi wa dini na hawana taasisi yeyote ya dini." alisema

Juzi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Yusuf Masauni aliwataka baadhi ya viongozi wa dini kuacha tabia ya kuzishughulisha taasisi zao na mausala ya kisiasa

Kwa kuwa jambo hilo ni kinyume cha sheria ya nchi namba 337 ibara 39(b). Sheria hiyo inaelezea utenganisho wa kidini na kisiasa a ilitungwa kubaini madhara yanayoweza kusababaishwa na baadhi ya wanasiasa kutumia dini kufikia malengo yao.
Huyu anamtumikia Mungu yupi? Uyu tunaemwabudu wote au wake binafsi,

Watumishi wa Mungu ni watanzania sio wakimbizi katika nchi yao , hata Uganda wakati wa idd amini waliongoza harakati, rudisha bandari za watu ,safari hamna kichaka cha kujificha
 
Back
Top Bottom