Kiongozi Bora

Kiongozi Bora

Hahahahaha lol! Lakini unasahau Mkuu si BAK
aliyeandika hiyo mimi nimeileta tu hapa Mkuu. Mjumbe hapimwi mkojo lol! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bad temper, self-centered, arrogant loh.... BAK siku ukienda kupima mkojo nijulishe twende wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]soon utasikia mkojo hautoshi tunataka kupima na........
Yarabi eeeh. Ikifika sasa huko mimi bora waniue tu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yaani upande wa kulia ndio yeye kabisaaaaaa... kama umejua cha kurusha bila hata kusukumwa.

Atafurahia kama atakusoma. Naona usingizi nao shida yaani asubuhi, mchana na mida mingine unamfikiria tu... hiyo ni habari nzuri ya kutamani ungekuwa kwenye cheo chake ujaribu eeeeh
 
“Sina tabia ya kusifia, lakini DC wa Korogwe nampongeza na msije mkashangaa mkiona amepanda cheo... ingawa hapa Korogwe mtachukia kwa sababu namuondoa mchapakazi,” alisema Magufuli.

CC: Kamanda mshana jr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom