BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Umeona eh! lazima aweke mkwara wa nguvu kufoka foka kila wakati halafu anakuja na kicheko chake cha kinafiki na kilichojaa dharau kubwa.
MIE HATA ZIARA zake nimeaCha kuzifatilia! ndo naskia hapo kamsfia DC!Hatari
Duu ya lini hii kaka“Sina tabia ya kusifia, lakini DC wa Korogwe nampongeza na msije mkashangaa mkiona amepanda cheo... ingawa hapa Korogwe mtachukia kwa sababu namuondoa mchapakazi,” alisema Magufuli.
CC: Kamanda mshana jr