pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
Hata kipande cha godoro kikijaa maji kakita nyonya tena...Ni kitu cha kushangaza kidogo lakini kipo na kitaendelea kuwepo ,wakati wa penzi changa mapenzi huwa motomoto kwelikweli mtanyonyana kila mahali na hamchoki hata
lakini jinsi mnavyoendelea kuzoeana na pengine kuishi pamoja ile ladha tamu ya mate ya nwenzi wako hupotea kabisa na hata wengine kuona ni kinyaa kunyonyana tena
Huwa najiuliza tu ninini kinatokea ?
Hutaki maswali lkn nakuuliza hivi dushelele lina ladha gani..bora ninyonye dushelele kuliko kunyonya mate. staki maswali.
Mkuu kikombe ni kikombe na mdomo ni mdomo...Kwani wakati wa mapenzi motomoto yale mate ya mpenzi wako uayonyonya yakiwekwa kwenye kikombe unaweza kunywa?
Hahahahhhh duuu eti matamahulukuBado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc
kumbe hata wazee wengine ni waumin wa hii kitu
Mmmh inaonekana wewe hata mlevi akitapika waweza kunywa.. Loh....Mi napenda denda na demu mla ugoro au aliyetoka kutapika sasa zile chembe chembe za matapish huwa tam kwelikweli hasa akiwa mweusi.
Kwani mapenzi lazima mnyonyane ulimi?
Basi sawa!!!!
Mmmmmmhhhhh...
Mwe mwe mweeeeee! Jamani kaka Robert kauli hiziiiii.... samahani umeoa weye? Teheeee! Ngoja nipite tu leo hapa hapanifai! Na kamvua haka.....
hahaa naona umeishia kuguna tu lol
Been missing your comments
Nilikuwa namtazama tu anavyojitoa fahamu!!!!!!!
kajitoa ufaham kama kidogo...... pale hata cha kujibu mtu unashindwa
inauz pale ambapo mwenzio anakuachia unyonye ulimi wake tu,sa kwan maana ya denda ni nn?
inauz pale ambapo mwenzio anakuachia unyonye ulimi wake tu,sa kwan maana ya denda ni nn?
nini tena TATIANA jamani!!Hajahahaa..... Passion Lady wewe
shemeji....jamani mbona kunisusa ivooo!!!
hahaa naona umeishia kuguna tu lol
Mwanaune hana hata tafsida...loh
very handsome thank you