Kinyaa cha tongue kiss

Watu wanatafuna vurusi vya ukimwi kama kawaida!!!
 
M nakunywaga mpaka makohozi ya mpendhi wangu! Teh teh teh!
 
Bado ni fresh tu ila kama hapigi mswaki mkimaliza kula hapo lazma usikie kinyaa kwani unaweza ukazungusha ulimi ukawa unaibuka na matamahuluku ya misosi.Mara punje za wali ganda la marage vitawi vya mchicha etc

dah! We noma!
 
Mate matamu yakiwa motomoto ndio maana yanafuatwa humo yanakotoka lakini yakishatoka lazima uyakimbie na akitema mate chini lazima umchukie kwa kukosa ustaarabu.
 
Mate matamu yakiwa motomoto ndio maana yanafuatwa humo yanakotoka lakini yakishatoka lazima uyakimbie na akitema mate chini lazima umchukie kwa kukosa ustaarabu.

kinacholeta hamasa ni mdomo, kwa kuwa mdomo uhifadhi mate , watu hudhani kinachofatwa ni mate...na ndio maana kiss nyingi zinalenga mdomo au maeneo yanayokaribiana na mdomo!!
 
Hapo ndo MICHEPUKO inapokuwa DEAL
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…