Siku ya Jumamosi Edward Lowassa alikuwa mkoani Dar kusaka wadhamini wa CCM katika mbio zake za kutaka kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka huu, hapa chini ni baadhi ya ahadi alizozitoa Lowassa mwenyewe mbele ya wanaCCM.
1/Atamaliza tatizo la Miundo mbinu yote ya Dar(Barabara, mifereji, mitaro, mtandao wa maji safi na taka, madampo nk) ndani ya miezi sita tu, toka siku anatangazwa kuwa rais.
2/Atajenga nyumba milioni moja kila mwaka jijini Dar ili
Kuboresha makazi ya wakazi wa Dar.
3/Atajenga urafiki wa karibu na matajiri na maskini.
Source:Gazeti Mwananchi la Jana.