Nokia mchina
New Member
- Jun 16, 2015
- 4
- 0
Ukitaka kujua kuwa Lowasa ni mtu wa aina gani....tazama marafiki zake....
Lowassa ni zaidi ya jembe, ndoo suluhisho pekee, sasa haya ya jaji ramadhani,someni mtanzania, jaji ramadhani ataja aliye mshawishi
Ukitaka kujua kuwa Lowasa ni mtu wa aina gani....tazama marafiki zake....
Si unaona mzee msocialist a.k.a.mganga wa jadi nae kawa fisadi damu.
Kada maarufu wa CCM,mzee Kingunge, amesema hawatakubali kuona jina la Lowassa linakatwa.
=============================
Chanzo: Mwananchi
Kabla ya katiba mpya ya Kenya kulikuwa na waziri wa Nairobi,nadhan ndipo alipodesa.
Kwa sasa kuna Gavana wa Nairobi maana ni jimbo.
haya ndiyo matanzania wanaishi kwa kukaririSasa wote wawili hao we unawaona wana akili kweli
Ni ili kurahisisha utatuzi wa matatizo lukuki ya jiji la Dar, kwamba waziri akilala akiamka anatoa maamuzi ya haraka kwa manufaa ya wananch. Sambamba na hilo kila mwaka zitajengwa nyumba millioni moja kuendana na sera itakayotungwa kwa ajili ya jiji hilo. Nipashe siku ya leo.
mbona umeanza kututisha
Kufunga CCTV ni jambo la lazima, kwa usalama lakin hili la kuwa na wizara ni la anasa tu kama tuna pesa za kuchezea.
utakuwa upo motoniEL akiwa Rais Jua halitachomoza tena duniani.
Hawatakubali yeye na nani? Hajui enzi zake zimeisha? Huyu Mzee sasa hivi hajitambui na hafuati tena misingi aliyoamini.
acha kuwa na mawazo mgando
kila kitu tunadesa hata kujua kusoma na kuandika umedesa boya wewe
Naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam alhaji Ramadhani Madabida, alisema ameonesha dhamira ya kutaka kuwatumikia Watanzania na moja ya sifa za kiongozi ni kuwa mstahimilivu na kuhilimili mikikimikiki.
Aidha alimfananisha Lowassa na Mtume Muhammad kwamba ni kiongozi mvumilivu.
Kufunga CCTV ni mawazo mgando?jiangalie vizuri.Ukisema hilo kwa wenye akili utaonekana zuzu.
Hakatwi mtu hapa.
Sasa mie na wewe ambaye ata hujui umuhimu wa CCTV kuwekwa mijini nani boya?ungejiongeza kidogo tu ungejua CCTV ni jambo muhimu sana.
Kila siku tunasikia majambazi wamevamia hapa na pale, CCTV ilikuwa sehemu nzuri ya kuanzia, fungua ubongo wako.