Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,918
- 5,113
So kutakuwa na Mkuu wa Mkoa..Meya wa Jiji na Waziri wa Jiji....hayaa bwana!
WaTanzania tunataka zigo la mawaziri lipungue yeye anaplan kuliongeza! Waziri wa jiji!!!!:nono:
So kutakuwa na Mkuu wa Mkoa..Meya wa Jiji na Waziri wa Jiji....hayaa bwana!
ha ha ha huwa nacheka watu wanavyoparuana kwenye Jamiiforums. Humu unaweza ukawa unagombana na ndugu yako hujui kumbeAcha kukurupuka wew mim sio mshamba kama wew na sijakujib hbr ya cctv
Malizia dozi milembe kwanza
Madabida lazima ajue kuwa Yesu hakuwa na kashfa ya ufisadi...Kama huyo anayemfananisha naye.....
Hawatakubali yeye na nani? Hajui enzi zake zimeisha? Huyu Mzee sasa hivi hajitambui na hafuati tena misingi aliyoamini.
Hivi Kingunge anaposema hatutakubali Lowassa akikatwa yeye Na nani? Kwa hiyo pamoja Na ufisadi rushwa kuanza kampeni kabla yote tuifanye hatuoni kwa kuwa ni lowassa Mzee usitutishe
CCM imeoza,wazee wanaotegemewa kuwa neutral na kusimamia taratibu za chama,wao wanakuja na mgombea wao badala ya kuja na sifa za mgombea