Mpaka walipofikia kumkata Lowassa sijui watatumia mbinu gani; the whole thing is wrong hakuna sababu tena za kumpinga Lowassa wanachama wenyewe awaheshimu contractual obligation zao, Lowassa ana support za wanachama wa level zote.
Sasa unajiuliza hao wanachama wengine awalioni hili la accusation anazopewa huyo mgombea kutokana na sifa sahihi za mgombea yeyote duniani let alone CCM.
Ni hivi uongozi wa CCM auna control tena na discipline ya chama if anything career ya Lowassa wangeiuwa tu wangetaka lakini chama kimekuwa kikilea maovu uwezi kupanda mabua halafu uvune mahindi.
Ao akina Chenge ndio wanaosumbua mahakama, Rostam na genge la matajiri wengine wenye utajiri uliokosa misingi ya mwanzo ndio backers wa Lowassa. Misingi ya chama iko wapi badala ya mawaziri kushughulikia ilani yao na Kinana ku-sort mess za internal culture. Kwa sasa uendeshwaji wasiasa na serikari vitu avieleweki who is responsbile for what mwenyekiti na raisi wa nchi kila siku yuko angani hana habari na afya ya chama kisa muda wake umeisha.
Kila kitu ovyo sijawahi ona serkari na chama kinachoendeshwa hovyo kwa vipimo vya siasa za mataifa ninazofuatulia this is just danger zone even to an amateur kama mimi sioni nationalism propaganda agenda wakati solidarity is at stake, values za taifa azieleweki, moral codes azijulikani, income distribution usio na uwiano sahihi, sheria hazina nguvu, ufiasadi wa hali ya juu; matokeo yake inapelekea kukuza confusion, individualism, udini and anomie.
Lowassa akishinda uchaguzi ujao tutarajie nchi kuvurugika zaidi; its simple atuwezi tena ku-afford raisi asiye jua shughuli yenyewe ugumu wake ikoje, sio hela tu ndio kigezo CCM awaaminiki tena kwenye usimamizi hiki chama kipo kwa sababu ya weak opposition tu; there are 50 million people with different problems and whose contractual relation to their nations are in vague, lack of moral concession and immense poverty all the elements of a failed leadership kwakweli tunahitaji mtu mwenye combination ya mawazo ya vijana na experience ya usalama iliyotukuka na uzalendo usio na mashaka vinginevyo tunakoelekea sio kuzuri.