Mangi Muitori
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 653
- 422
Kwani dar Es salaam Ndio chanzo cha umaskini wetu??
Mkuu wa mkoa dsm, waziri dsm , meya dsm !!! Bonge la filamu
Mbona hakuna waziri wa Nairobi Na mambo yanaenda???
Sembuli Umuhimu wa Dar es salaam kwa uchumi wetu huujui?
Dar ikisonga mbele Tanzania nzima inaendelea huo ndio ukweli