Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

Kingunge: Hatutokubali Lowassa akatwe jina

El akikatwa kuna madhara ndani ya chama asipokatwa kuna madhara, heri nusu shari kuliko shari kamili akili kumkichwa kwa viongozi na wahusika wote waliopewa mamlaka ya kuamua kazi yenu hii.
 
Nina mashaka na busara za huyu mzee inamaana kwakwe wakikatwa wengine sawa ila lowasa hapana.

Hili ndilo tatizo la kununuliwa uzeenu na mafisadi
Alitakiwa awe neutral kama mlezi wa watia nia wote, badala yake ndo kwanza anazidi kukimega chama kwa kuimarisha makundi.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
haa haa kingunge mwaka huu amedhamiria kufa na lowasa. jk tumbo joto. chezea nguvu ya mafisadi wewe. ccm wakijichanganya kumpitisha lowasa tano bora imekula kwao. utakuwa ni ushindi wa kimbunga kwenye mkutano mkuu...
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Tunakipenda chama chetu!
hatutaki kigawanyike!
tusaidieni kwa hili!
NJIA YA KUENGUANA ITATULETEA CHUKI,MAANA HAKUNA ATAKAYE KUBALI KAMA NI KWELI KAENGULIWA KIHALALI
**WAGOMBEA TULIONAO NI 40,
CC TUACHANE NAYO ITATULETEA TAAABU SANA,
**WAGOMBEA WOTE 40 WATOE MAELEZO YAO MBELE YA NEC JUU YA MATARAJIO YAO WANAYOTAKA KUWAFANYIA WATANZANIA,BAADA YA HAPO WAJUMBE WAANZE KAZI MARA MOJA YA KURA!
20 WENYE KURA CHACHE OUT!
10 WENYE KURA CHACHE OUT!
05 WENYE KURA CHACHE OUT!
04 WENYE KURA CHACHE OUT!
**TUTABAKI NA MMOJA**
HUYU SASA ATAKUWA NI RAIS WETU,
wagombea wote watakuwa na amani na upendo utaamka upya!
 
Kura zipi na zinapigwaje??!!
Bishara ya kura unataka ndio iamue kana.kwamba hatujui madhara ya kura zilizopitisha bajeti??!!!

Utaratibu upo, unajulikana na uendelee kutumika
 
Tulipofikia kuna watu wanajiona kama wao wana hati miliki ya "Nnji" hii!! Huyu si ni mjumbe wa kamati kuu? Nitashangaa kama watia nia wengine wataacha huyu aingie kwanye kamati kuu kuwajadiri. Hawa wanamfanya mwenyekiti wa sasa ashindwe kukiongoza chama - yaani chama sasa hakiongozeki!! When the center cannot hold, things fall apart.

CCM mufilis
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Nina mashaka na busara za huyu mzee inamaana kwakwe wakikatwa wengine sawa ila lowasa hapana.

Hili ndilo tatizo la kununuliwa uzeenu na mafisadi

Ni nini kimsababishie akatwe? Kukubalika kwa wananchi ndio ishu kubwa, tumeona tayari anakubalika. Kama angekuwa na matatizo na chama mbona bado ni mwanachama?
 
mkuu ndani ya ccm wazee wengi wametekwa na lowasa hawapumui. sio mkapa,mwinyi wala karume. kingunge ndo haambiliki kabisa mbele ya lowasa...

Ni kwa sababu ya kukumbatiana mtu tangu.awamu ya kwanza yupo tu kana kwamba yeye asipokuwa kiongozi nchi itasimama, sasa wamejenga hulka mbaya ya kutaka kuamua tena kwa niaba ya wengine. . . . . Kama kasema hayo kweli basi anaonesha ni kwa kiasi gani nchi hii haifuati sheria wala taratibu ila matakwa tu. . . . . . .anatoa ujumbe mzito na mbaya sana
 
Tulipofikia kuna watu wanajiona kama wao wana hati miliki ya "Nnji" hii!! Huyu si ni mjumbe wa kamati kuu? Nitashangaa kama watia nia wengine wataacha huyu aingie kwanye kamati kuu kuwajadiri. Hawa wanamfanya mwenyekiti wa sasa ashindwe kukiongoza chama - yaani chama sasa hakiongozeki!! When the center cannot hold, things fall apart.

CCM mufilis

mkuu sina uhakika kama kongunge ni mjumbe wa kamati kuu kamwe. ila ni mzee anayesikilizwa sana na wana ccm wengi.
 
Back
Top Bottom