Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kingu: Wabunge wa CCM tusiyumbishwe!

Kama aliyeandika uzi huu ni mbunge, basi he is very low, hafai hata kuwa baba wa familia(sorry to say so)
Kwa hiyo kosa langu ni kuwaletea alichoandika mbunge wa CCM!!
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
We Kingu unamaanisha nini hapa?

"Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi."

Nadhani itafaa sana ukishamaliza awamu yako ya ubunge yale "mafao" yako yatunzwe hadi ufikishe miaka 60 kisha upewe asimilia 25 tu na nyingine upewe kidogo kidogo hadi ufe.
Kwani wewe hutaki mafao yako yatumike kuunda Tanzania ya viwanda?

Hapo akili itakukaa sawa na utakuwa umeitendea haki hoja yako.
 
Kiukweli unaweza tukana sana then ukawa kwenye shida. Hivi huyu ni mbunge anayejitambua akisemacho? Je, hela za wanachama ndo za viwanda? Anaakili kweli? Nimsaidie kidogo ufahamu, serikali haiwezi jisifu kuendesha viwanda yenyewe kwa ufanisi bila kuweka mazingira Rafiki ya uwekezaji ili watu waanzishe viwanda Na serikali ipate kodi tuu kutoka hiyo viwanda Na bidhaa. Sasa huyu mbulula maadamu kashiba kande za mjengoni haoni kosa kwa sheria waliyopitisha ya FAO la kujitoa.
Aise Mungu atusimamie tuu so uongo MTU kama huyu hatufai
 
Jiwe anapaswa kuwa makini sana na hawa washangiliaji wake. Leo ndio nimeamini kuwa hili kundi limeamua kumkaanga jiwe maskini. Nimeandika leo kwa kujisikia huruma sana kwa sababu lengo lao linaenda kutimia na huruma hii inaenda kumchora jiwe kama mtu aliyeshindwa.
Mzee baba unaingizwa chaka wakatae baadhi ya watu kwenye safari yako. Hivi haya wanayokusifia nayo na kuyapitisha kwa mgongo wa viwanda akili yako inakubaliana kweli?
Baba kataa, kataa kabisa. Geuka sikiliza sauti za upande wa pili.
 
Au mie ndio sijaelewa lengo la Kingu. Hamna shida ngoja nidurusu kwa mara nyingine
 
Sijui ni kwa nini heshima ya Wabunge wengi imeshuka kwa kiwango hiki. Heshima ya Bunge iliondoka enzi za akina Majogolo, Kuwayawaya....and the likes.
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Ututolee upumbavu wako hapa
Ninyi wabunge hiyo michango yenu ya pension haikatwi hata kodi. Milioni 200 kwa miaka mitano sijui kumi.
Halafu watumishi miaka 30 anamaliza bado muwaletee siasa za kinyonyaji kwa manufaa ya taifa. Hizo za kwenu ni kwa manufaa ya nani? Watu wamepinda migongo wanalipwa kwa unyonyaji ninyi mnatoka bado vijana mnalipwa mamilioni.
Huo unafiki peleka kwenu huko
 
Serikali kupitia lichama lao wanatukopa kwa nguvu-pension, madai tofauti kama nyongeza za mishahara, kuna wengine pesa za likizo, wengine housing allowance etc halafu utawasikia wakisema bila aibu hela ipo ya kufanya hili na lile. Fikiria hela siyo yako lakini unaipangia matumizi na jinsi ya kuilipa kana kwamba ni fadhila.
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Hii inadhihirisha aina wapumbavu tuliowachagua wakatuwakilishe
 
Milioni 250 zake zinaishia kuwahonga Mademu Boutique na Range tu halafu za wadogo zake ajira zilizokoma na za mababa zake waliostaafu anataka zikaanzishe viwanda,yeye kwenye ajira anakopa hadi 600m,hapo hapo anapewa 90m na bunge hapo hapo wanapiga fedha za mifuko ya jimbo,hapo hapo fedha za lobbying kutoka serikalini,hapo hapo fedha za vikao,hapo hapo fedha za kamati,hapo hapo mishahara wa mili 12 halafu anataka wanyonge wanaolipwa laki 2 kwa mwezi ndio fedha zao zinkajenge viwanda,zake yeye akahonge "VIDOSHO"......Kweli aliyeshiba hamkumbuki Mwenye Njaa ipo siku tutaongea lugha moja na tutamkubusha tu,mungu kamwe hadhihakiwiView attachment 944795View attachment 944796View attachment 944797
Huyu mbunge aliwakuwa DC wa Igunga?
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Nadhani unaeleweka kuwa kati ya wabunge wasio na msimamo na tabia za kujipendekeza kwa ajili ya kupata nafasi za uteuzi ni mmoja wapo. Ukimaliza miaka yako mitano unatoka na chako kwa asilimia mia moja lakini mfanyakazi ambaye amefanya kazi kwa miaka zaidi ya ishirini unampa ailimia 25. Ziko wapi ahadi zako ambazo umekuwa unazitoa kwa wananchi na huzitimizi. Utazungumzia usalama wa Taifa kwa taifa ambalo wananchi wake wana njaa. Mifuko ya hifadhi ya jamii ni mifuko ambayo inachangiwa na wanachama wake inashindwaje kujiendesha. Ishawishini serikali ilipe madeni ambayo imekopa kwa mifuko hii ya hifadhi ya jamii. Kingu tunakufahamu toka uko shule ukisoma mkwese sekondari usilete siasa rahisi namna hii. Huu sio wakati wa kufanya siasa za nmana hii kuwa realistic. Usilete mambo ya kuuma na kupuliza kuwaplease wale wakubwa wako kwenye chama. Humu sio vikundi vya akina mama huko jimboni kwako ambako umekuwa unawapa pesa za mfuko wa jimbo huku ukijinasibu kwamba zinatoka mfukoni mwako usihadae wananchi wa Tanzania hiki ni kipindi ambacho watu wanajitambua.
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
Kingu wewe umeshiba,unakula mpaka unasaza,maana upo jikoni. Huoni kabisa watanzania walio wengi ambao kipato chao ni kidogo sana. Fao la kujitoa lingemsaidia huyu mnyonge wa chini hata kujijengea kibanda cha kuishi akaachana na kelele za kupanga.
Mtumishi wa umma angepewa pension yake anapostaafu na kufanya mambo yake. Lakini wewe kingu na wenzako ccm mnanyang'anya haki hii ya watanzania,tena hizo fedha kwenye hiyo mifuko ni za hawahawa watanzania maana hukatwa kwenye mishahara yao. Kingu huoni kama huu ni unyang'anyi kwa watanzania maskini? Endeleeni tu kutunyanyasa watanzania kwa sheria kandamizi za kinyonyaji mnazofanya. Hamtakaa humo milele. Ipo siku watanzania watachoka.
 
Huu ni ujinga kusemea hela ya wengine, nakuita mpuuzi. Wengine wachangke eti wabunge wapuuzi wa ccm wachote 100% kuja kutapeli mitaani. 2020 wasipite na kama watapita basi wananchi ni wajinga
 
Wabunge wa CCM Tusiyumbe.

Nimeanza kwa Wabunge wa CCM kwa sababu kubwa kwanza sisi chama chetu ndicho kilicho na dhamana ya kuwaongoza watu wa nchi hii.

Lobbing zimeanza za Makampuni makubwa ya Migodi kupinga sheria ya Fao la kujitoa.makampuni binafsi nayo yataanza soon kupinga uamuzi huu kwa maslahi ya wachache Maslahi yasiyozingatia maono ya nchi na Usalama wa Taifa.Maslahi yanayoangalia siasa za muda za kuwafurahisha wanaharakati huku taifa likikosa nguvu ya kiuchumi.

Nawatahadharisha wabunge wote na hasa wa Chama changu CCM,tuwe makini na kila move hasa kipindi hiki ambacho Rais Magufuli amekuja na mwanga juu ya hatma ya viwanda vya nchi hii;Magufuli ameamua nchi iwe ya viwanda kupitia Mifuko hii ya kijamii,Lakini naona mapandikizo yakutaka kuidhoofisha mifuko hii,Mipango hii wanajua wanaoiratibu nia yao lakini wabunge wenzangu na wana CCM fao lakujitoa ni miongoni mwa mipango ovu ya kutaka kumdhoofisha Rais Magufuli na kudhoofisha mapato ya mifuko hii iliyoelekezwa kusimamia mageuzi ya viwanda nchini.

Kwanini watanzania kila jambo tuliwekee siasa?Uimara wa mifuko.ya kijamii popote duniani ndio kiini cha Usalama wa Taifa,Usalama.wa nchi katika kila nyanja iwe ya dharura za kiulinzi au kukuza uchumi hii ni roho ya nchi hasa nchi Hizi zinazoendelea.

Tuwe makini sana juu ya hawa wanaotaka kuturudisha nyuma.Rais anadira ya viwanda,Mifuko hii imepewa jukumu hili kwanini tuanze kutaka kuwadhoofisha.Kwa haraka haraka NSSF wanaweza kuokoa karibu biln 60 pesa ambazo kwa nchi changa kama hii zikiwekezwa kwa busara na uzalendo zinalifanya taifa lipae kiuchumi.

Watanzania tuache siasa pesa hizi ni za watanzania wakifikisha umri unaostahili watalipwa nchi hii lazima itangulize maslahi ya wengi kwa faida ya vizazi,tuache harakati na siasa za kutaka sifa kwa mambo mazito yanayogusa ustawi na usalama wa nchi.

Tuache mifuko ikusanye pesa a kuwekeza kwenye viwanda .Tuache ubinafsi kwa faida ya vizazi vinavyokuja.

Kingu Elibariki
MP Singida West
The Good thing is ma CCM na yenyewe yamebanwa na hii sheria.
Lissu alisemaga kama unajiona uko salama basi wewe ni mjinga sana
 
Back
Top Bottom