Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Hakuna king'amuzi cha
hovyo kama hiki no signal kila wakati, sasa ngoja nikupenjia format
channel kisha nenda manual search jaza channel 23 ni za digitak utaanza
kuona itakwambia kwa baadhi ya channel kuwa set smart card wewe weka
kadi yoyote hata ya benk zitafunguka. Tatizo ni mtambo wao sijui hauna
nguvu.
Tokea nimenunua hii kitu haijapita hata mwezi, ila performance yake imekuwa ya kusuasua yaani mara nyingi kinakuwa hakiko hewani.
Hii kitu naona hakinipi uhuru wa kupata habari, naomba wale mnatunia aina ya hii device mnijuze kama majanga kama haya nanyi yanawapata, isijekuwa labda cha kwangu kimeharibika, mfn, jana usiku kilikuwa hakifanyi kazi.