Kingereza ni changamoto kwa JF members, nyuzi za English hazisogelewi

Post na majibu yanatoa picha halisi huu ya elimu ya wanachama wengi wa JF ondoa Great Thinkers. Wanaoweka Post ni za hovyohovyo hazieleweki! Wanaojibu nao ni za hovyohovyo wengine hujibu bila hata kuisoma na kuielewa Post. Hata hivyo Great Thinkers wengi walikwisha jitoa JF hapo alibaki mmoja PM naye siku hizi simuoni, labda kajificha kwao kuogopa mafua ya kupumua.
Hahaha

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Nyuzi nyingi za kingereza humu jf huwaga hazina wachangiaji kitu ambacho kinatia shaka uwezo wa wana great thinkers kwenye ishu mzima ya lugha ya kimalikia.

Na hata watakaochangia ukisoma kingereza chao unaweza ukakesha unacheka. Bado sijaelewa kama great thinkers wengi wamesoma shule za kata au hawapendi tu nyuzi zilizowasilishwa kwa kutumia ngeli?

Mkuu kuonyesha msisitizo ungeanzisha nyuzi ya kiingereza.
 
1611642652196.png
 
Back
Top Bottom